Daaah! Makofi na vigelegele tafadhali, naona nazeeka sasa!.

Daaah! Makofi na vigelegele tafadhali, naona nazeeka sasa!.

happy252520birthday252520boy-vi.gif
............ stevoh
...duh...hii inamaanisha nini..?
 
Kua mdogo wangu kua!
KAZANA SANA kwenye KUCHUMA MBOGA za majani UZILE SANA , yaani hakikisha una kabustani ubavuni mwa home!
UNAJICHUMIA mwenyewe!
Hiyo itakusaidia kukusogeza mwaka ujao with fully healthy again.
Sawasawa ?
 
hongera,kazania masomo,elimu ndo ufunguo wa maisha,wenzio tulisoma mpaka no class leo tunakula kuku tu.
 
Kua mdogo wangu kua!
KAZANA SANA kwenye KUCHUMA MBOGA za majani UZILE SANA , yaani hakikisha una kabustani ubavuni mwa home!
UNAJICHUMIA mwenyewe!
Hiyo itakusaidia kukusogeza mwaka ujao with fully healthy again.
Sawasawa ?

asante kwa ushauri mkuu.
 
Namaanisha kuwa kwa Umri wake aliofikia hapaswi kulala na Boxer.
Maana kitu kilaini kimoja kitamjia kwa juu.

mmh bila shaka una undugu na mjomba maana una mafumbo mpaka bhaas
 
Back
Top Bottom