Daaah! Makofi na vigelegele tafadhali, naona nazeeka sasa!.

stevoh

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2011
Posts
2,921
Reaction score
1,107
Habari zenu..
Naona siku njema ambayo miaka kadhaa nyuma..
Kulikua na vifijo na nderemo bila kusahau vigelegele...
Ambapo mtoto wa kiume alipozaliwa na mama aliye hai mpaka sasa...
Miaka ya 1900's ndio nilizaliwa...
Nimeingia umri wa majukumu zaidi...
Umri wa kijana wa makamo...
Makofi na vigelegele kwa stevoh tafadhali...
Happy birthday to me...
 
Last edited by a moderator:
Happy birthday my dia stevoh
 
Last edited by a moderator:
Happy birthday stevoh! May you live to blow 101 candles
 
Last edited by a moderator:

Haya mdogo wangu... Hongera kwa siku yako ya kuzaliwa!!!
 
Last edited by a moderator:
Happy birthday stevoh kuwa na siku njema yenye furaha na amani!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…