Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 47,397
- 101,204
...duh...hii inamaanisha nini..?............ stevoh
...duh...hii inamaanisha nini..?
Mkwe,
uko poa?
niko poa sana mkwe.... habari ya mchana huu?
Mkwe mchana umetulia kweli kweli,
hofu ni kwako tu.
Kua mdogo wangu kua!
KAZANA SANA kwenye KUCHUMA MBOGA za majani UZILE SANA , yaani hakikisha una kabustani ubavuni mwa home!
UNAJICHUMIA mwenyewe!
Hiyo itakusaidia kukusogeza mwaka ujao with fully healthy again.
Sawasawa ?