Daaah mwanetu Joslin ashapoteana. Mtazame hapa alivyo sasa

Daaah mwanetu Joslin ashapoteana. Mtazame hapa alivyo sasa

Suley2019

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2019
Posts
2,203
Reaction score
5,610
Salaam ndugu zangu,

Mnamkumbuka msanii mkali wa RnB miaka ya 2000 ya mwanzoni Joslin. Msanii huyu alitamba na vibao mbalimbali ikiwamo Niite basi, Wanazimika na yangu Perfume nk. Alikuwa miongoni mwa nguzo muhimu katika kundi la Wakali kwanza.

Aisee nimekutana na video yake Twitter leo nikasema jamaa ashapotea.

 
Back
Top Bottom