Daaah mwanetu Joslin ashapoteana. Mtazame hapa alivyo sasa

Daaah mwanetu Joslin ashapoteana. Mtazame hapa alivyo sasa

Salaam ndugu zangu,

Mnamkumbuka msanii mkali wa RnB miaka ya 2000 ya mwanzoni Joslin. Msanii huyu alitamba na vibao mbalimbali ikiwamo Niite basi, Wanazimika na yangu Perfume nk. Alikuwa miongoni mwa nguzo muhimu katika kundi la Wakali kwanza.

Aisee nimekutana na video yake Twitter leo nikasema jamaa ashapotea.

View attachment 2519385
Umaarufu haufai kabisa kama ubongo wako hauko imara.

Simba juzi tu alikuwa anashangaa kwa nini anazidi kupungua uzito
 
Back
Top Bottom