Daaah mwanetu Joslin ashapoteana. Mtazame hapa alivyo sasa

Daaah mwanetu Joslin ashapoteana. Mtazame hapa alivyo sasa

Mambo ni mengi! Ustaa unawamaliza! Majina makubwa, na hawawezi kuishi na nguvu ya majina yao
JamiiForums1606023004.jpg
 
Salaam ndugu zangu,

Mnamkumbuka msanii mkali wa RnB miaka ya 2000 ya mwanzoni Joslin. Msanii huyu alitamba na vibao mbalimbali ikiwamo Niite basi, Wanazimika na yangu Perfume nk. Alikuwa miongoni mwa nguzo muhimu katika kundi la Wakali kwanza.

Aisee nimekutana na video yake Twitter leo nikasema jamaa ashapotea.

View attachment 2519385
ila anaazeeka na sauti yake
 
Nakumbuka enzi za primary Joslin alisoma shule ya Bunge kama sikosei

Walikuwa wanakuja sana pale Aga Khan Mzizima Primary na jamaa zake wanatupitia tunaenda nao viwanja vya Don Bosco alikuwa mshikaji fulani smart sana kichwani.

Nikimwona saivi inasikitisha sana
 
Back
Top Bottom