mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Mimi langa(RIP)ndy iliniumaga sanaNamkubali sana mshikaji ndio maana sitaki kuamini kama ni sembe japo roho nyingine inaniambia ni yenyewe,
Namuombea sana apate msaada wa haraka asidumbukie kwenye uteja
Alianza utaniutani tu gari likawaka
Likakolea mwendo
Alijaribu kutoka akatoka akarudia tena
Ova