Daaah mwanetu Joslin ashapoteana. Mtazame hapa alivyo sasa

Daaah mwanetu Joslin ashapoteana. Mtazame hapa alivyo sasa

Mimi naona wamepiga mitungi + weed, ila kwenye sembe upande wa Joslin simuoni
Kwa sisi wa wazoefu wa watu aina hiyo,tunasema jamaa anatumia drgs

Maana hata huyo aliyekuwa pembeni yake ni mtumiaji(anaitwa stAn)anapatikana sana manyanya

MADAWA YA KULEVYA YANA TABIA FULANI,UKIWA UNATUMIA UTAJIFICHA HUTATAKA WATU WAJUWE AMA KUGUNDUA KAMA UKO KWENYE MATUMIZI HAYO

ILA UKIWA MTUMIAJI WA MADAWA NI SAWA NA MWANAMKE ALIYEPATA MIMBA ,IKO SIKU TU TUMBO LITAUMUKA NA MIMBA ITAONEKANA

ila kwa kumuangalia jslyn bado gari halijachanganya kama atapata msaada mapema anaweza kurudi kwenye hali yake ya kawaida

Ova
 
Namkubali sana mshikaji ndio maana sitaki kuamini kama ni sembe japo roho nyingine inaniambia ni yenyewe,

Namuombea sana apate msaada wa haraka asidumbukie kwenye uteja
 
Namkubali sana mshikaji ndio maana sitaki kuamini kama ni sembe japo roho nyingine inaniambia ni yenyewe,

Namuombea sana apate msaada wa haraka asidumbukie kwenye uteja
Wakimuwahi kumpa msaada anapona
Bado gari halijachanganya
Kikubwa accept kama yuko kwenye matumizi hayo na akubali kutoka moyoni aondokane huko
MTU YOYOTE ANAWEZA AKAINGIA HUKO HAUTAKIWI KUMCHEKA MTU

ova
 
Kwenye ngoma yake inayoitwa
"Mashikaji Mmoja hivi' alishusha stori moja kwa flow kali kinyama hadi huyo mshikaji alivyoukwaa ukimwi, iliku unaburudika huku unapata elimu na usipousikiliza kwa makini unaweza kudhani ilikua ni burudani tu isiyo na elimu kumbe flow kali ilificha stori ya kuhuzunisha kwa mistari inayo burudisha.

Haijalishi we ni nani, haijalishi we ni tajiri au maskiniiii🎶
Haijalishi we ni nani, ukiupata, usubiri kifoo ooo. 🎶(Story ya mshkaji mmoja hivi)
Haijalishi we ni nani, haijalishi we ni tajiri au maskiniiii 🎶(Weweee) Haijalishi we ni nani, ukiupata, usubiri kifoo ooo. 🎶🎶
Alikuwa freshi ,safi ,ukimuona utampa tu respect ... Ni mcheshi,alikuwa anapenda sketi

Kichwani yuko safi ,class ni namba moja . ..........
Tulikutana Na ticha huku tumelewa,mshikaji akaomba gemu halafu ticha akamuelewa....

Pombe zilipomtoka akaanza kujutia kosa,tendo alilolifanya Na ticha wake wa darasa.Mbaya zaidi hakutumia kinga kabisa...

Ticha akaja halafu akatuambia...
 
Back
Top Bottom