Daaah mwanetu Joslin ashapoteana. Mtazame hapa alivyo sasa

Daaah mwanetu Joslin ashapoteana. Mtazame hapa alivyo sasa

Kama hauna moyo kinachofata ni recession, uwe chawa uanze kudata na depression...

Vina akimuelekeza rapcha kuhusu game ya bongo...

Vina ni mwalimu mzuri kwa sasa
Huyu jamaa anatoa shule tena kwa gharama nafuu sana, Kuna hili goma linaitwa Almasi, anakuambia

Utavamia kwenye tamasha la mziki/

usoni bashasha huku rohoni umeikumbata dhiki/

sanaa imesanda na Sasa Tena hauna kiki/

utaigiza furaha Kwa kunywa bia za mashabiki/

zitaongea nguo ulizoazima Kwa msela/

hazitatosha kuficha ukweli kwamba hauna hela/

hautakumbukwa kama mwanzo wakati unatisha/

Paparazzi hawatakujua so hautapigwa ata picha/

Hakuna atakaekuangalia usoni/

Tamasha utaingia Kwa kudandia koponi/
 
Kwenye ngoma yake inayoitwa
"Mashikaji Mmoja hivi' alishusha stori moja kwa flow kali kinyama hadi huyo mshikaji alivyoukwaa ukimwi, iliku unaburudika huku unapata elimu na usipousikiliza kwa makini unaweza kudhani ilikua ni burudani tu isiyo na elimu kumbe flow kali ilificha stori ya kuhuzunisha kwa mistari inayo burudisha.

Haijalishi we ni nani, haijalishi we ni tajiri au maskiniiii🎶
Haijalishi we ni nani, ukiupata, usubiri kifoo ooo. 🎶(Story ya mshkaji mmoja hivi)
Haijalishi we ni nani, haijalishi we ni tajiri au maskiniiii 🎶(Weweee) Haijalishi we ni nani, ukiupata, usubiri kifoo ooo. 🎶🎶
 
Na nyie mnaovuta mashisha na kugongea bangi za watu wa maskani
Endeleeni
Ngojaaa siku gari liwake makwenu
Ndiyo mtajuwa hamjuwi

Ova
 
Inasikitisha sanaa... Sana. Kufuata mikumbo ya kipumbavu...kukosa management.

Wasanii wote hawa walikuwa wanatumiwa na Clouds kisha wanatupwa hukooo... Then stress manifest...then this is the final result..
Pesa kidogo waliyopata iliwazuzua
Na kutaka kuishi kama wasanii wa mbele

Ova
 
Back
Top Bottom