Daaah mwanetu Joslin ashapoteana. Mtazame hapa alivyo sasa

Daaah mwanetu Joslin ashapoteana. Mtazame hapa alivyo sasa

Joslin – Niite Basi Lyrics

Niite basi mpenzi uwe wangu
Nikakutambulishe kwa ndugu zangu
Shida zote ulizonazo ni za kwangu
Njoo, njoo yeah
Niite basi mpenzi uwe wangu
Nikakutambulishe kwa ndugu zangu
Shida zote ulinazo ni za kwangu
Njoo, njoo yeah

Unaponiita joselin mpenzi napata wazimu
Istoshe baby pake unaponichumu
Mwili unasisimuka bae napoteza fahamu
Baby, ningefanya nini
Washkaji zangu daily me wananicheka
Jinsi mpenzi ulivoniteka
Wanasema siku moja utatoroka
Halafu mi nitabaki teseka
Ukifanya hivo baby ni vibaya hivo
Utanitesa mimi baby ni vibaya hivo
Hata nikiwaona masela ntaona soo
Niite basi mpenzi wewe ni kipenda roho
Mbona unaniweka wasiwasi
Baby girl njoo mi nipate nafasi x2
 
Nakumbuka enzi za primary Joslin alisoma shule ya Bunge kama sikosei

Walikuwa wanakuja sana pale Aga Khan Mzizima Primary na jamaa zake wanatupitia tunaenda nao viwanja vya Don Bosco alikuwa mshikaji fulani smart sana kichwani.

Nikimwona saivi inasikitisha sana
Umenikumbusha viwanja vya Don Bosco, long time sana
 
Intro

Ohh! ai say ai ai
Ohh! mama ei, oi ei ei ei
Say ei ei

Verse 1 - Dully Sykes

Nakupenda maa!
Basi njoo maa!
Nikila saa kabisa! uko kwa kichaa!
Girl just listen,tuishi kama
heaven
Nakuweka kwenye top 10
Nadata na reception
Mi nachoka hoi, pande zote huniboi
Niite baby boy to me, achana na
toy
Dozz pipo doz mapozi
Sasa dozi na hisia za machozi


Verse 1-Dully Sykes

Na napenda zako nywele ndefu
Zimekwenda shule
Upande wa maumbile
Nadata toka pande pande ile
Sura yenye mvuto mashavu yenye
dimpose
Sura yenye mvuto mashavu yenye
dimpose



Kiitikio
Oh! oh! oh! yaani soo!
Nimepata dhahabu mtoto wa kariakoo
Mtoto anavutia kila upande ooh!
Mtoto anakomesha mpaka mabishoo
Oh! oh! oh! yaani soo!
Nimepata dhahabu mtoto wa kariakoo
Mtoto anavutia kila upande ooh!
Mtoto anakomesha mpaka mabishoo

Verse 2 - Joslin

Mara ya kwanza nilikutana naye kiutani
Nikampa hi! huku akinishika shavuni
Am a Josline a.k.a mpendwa na watu
Kwasababu mi naflow style zaidi ya tatu
Ye kashtuka kanifagilia
Hakuamini kama 'Basi' nimewaimbia
Mshkaji mmoja hivi ndo uliofuatia
Mara akatikisa kichwa kifuani akaegemia
(Ghafla akaanza kulia)
Huku akinishika kwa hisia
(Wasiwasi ukanijia)
kumuona demu anaridhia
Anadai anazimika nnavyo flow
Nambusu mpaka mwisho, yaani naweka fullye
Hisia zangu kwenye muziki zinachoma
Ndo sababu kubwa iliyomfanya anipende sana
Mtoto mzuri ukimwona utampa heshima
Mi namuita dhahabu ndani ya
kariakoo nzima


Kiitikio
Oh! oh! oh! yaani soo!
Nimepata dhahabu mtoto wa kariakoo
Mtoto anavutia kila upande ooh!
Mtoto anakomesha mpaka mabishoo
Oh! oh! oh! yaani soo!
Nimepata dhahabu mtoto wa kariakoo
Mtoto anavutia kila upande ooh!
Mtoto anakomesha mpaka mabishoo


Verse 3 - Mr Blu

U-Lonely tena bye, mi nafurahi
Niko sehemuza majani, kichwani
niko high
Namuona manzii maskani, yuko
so fly
Mi nawahi, najigeuza Dully namfuata
nampa hi
Nimeshaini kama Mully, kadata
mtoto hakatai
Anangaa kama Gold
Yeah! yeah! yeah! yoah!
Anaita kama bling thing
Kama dhahabu, amefika kwa King
Queen wa kheri na ajabu
Anakila sababu, asipate tabu
Nimezimika ajabu...sana tu
Yoah! Hapendi pesa, hapendi show
Yeah anampenda Blu
Washamteta hasemi no!
Ye anawaona fool
Noma na kabaisa ajulikana mpaka kwetu
Steve unataka kumjua?
Master J twenzetu


Kiitikio
Oh! oh! oh! yaani soo!
Nimepata dhahabu mtoto wa kariakoo
Mtoto anavutia kila upande ooh!
Mtoto anakomesha mpaka mabishoo
Oh! oh! oh! yaani soo!
Nimepata dhahabu mtoto wa kariakoo
Mtoto anavutia kila upande ooh!
Mtoto anakomesha mpaka mabishoo


Bridge - Dully

Ohhhh! Unasifiwa style
Una bonge la smile
Nila 'am telling', napenda yako smile
Popote najinadi (2x)
Hakuna wa zaidi, hata awe P.Diddy
Oh my girl sema chochote nikugee
Mtoto unakata, hapo mi ndo nadata
Kiuno nakamata, oh! raha nazipata
Raha nazipata
Go! go shorty
Washa mi nidate,no story
Unaponipa mate, ona sasa wameshaanza hao
Nishikie, na sa walete gan tena zao

Repeat Chorus
 
Wanaoharibu career za watu ni wanawake na sio Mambo mengine msanii akiwa kwa top anawekeza muda wake katika ku fucky bitches then pesa ikipotea au kuisha anapata stress so Joseline anaonekana he still smart upstairs lakini Kuna something went wrong on his life circulation
 
Jamaa alikuwa anajua sana aisee

Anapoelekea atakuwa kama Godzila

Mziki wa bongo una stress sana jamaa kaamua kula sembe
Wiki iliyopita nilimkumbuka sana huyu jamaa nikaanza kufikiria moja ya wimbo wake "usione watu wanapitapita mtaani ukadhani wana raha, usione wanapitapita mtaani ukadhani wameshapata". Nikajiuliza yupo wapi huyu mtu mbona sijamsikia muda mrefu? Kumbe hali yake ndiyo ipo hivi kwa sasa! Maisha hayatabiriki aisee
 
Wiki iliyopita nilimkumbuka sana huyu jamaa nikaanza kufikiria moja ya wimbo wake "usione watu wanapitapita mtaani ukadhani wana raha, usione wanapitapita mtaani ukadhani wameshapata". Nikajiuliza yupo wapi huyu mtu mbona sijamsikia muda mrefu? Kumbe hali yake ndiyo ipo hivi kwa sasa! Maisha hayatabiriki aisee
Waliosema maisha ni safari ndefu hawakukosea
 
Noana Jamaa kala mjani na kvant Ila ingekua poda isingekua Ivo
So naona Yuko normal tu
 
Back
Top Bottom