Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sana kipindi hicho wamesikika sanaWalikuwa wanajua hawa watu
Vyote kwa pa1, ila officials ni SheikhSheikh au mganga wakienyeji
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nyie nimechekaaa mnoooo.Malizia kabisa ni mganga wa kienyeji na ana agua watu
Mbona yuko fit tu au ulitaka kusemaje sema hapo ni aidha amepiga Kvant au Weed au vyote,
Ila yuko poa na Interview kaifanya poa
Kuna ile moja inaitwa I LIKE MUSIC ilitoka miaka ya 2008/9 kama sikosei.....
Kuna ile moja inaitwa I LIKE MUSIC ilitoka miaka ya 2008/9 kama sikosei.....
Makamua nilikuta wanaonesha harusi yake last week; ameoa. Anaonekana yupo sawa...Dah QJ , mjungi ,joselin mjungi na makamua nae sina uhakika ila nilisikia ni mlevi kupindukia heroine is helluva drug
Asante mbona hukuleta ka ua ka zawadi wa aunt 😒😒😒 ukaishia ona harusi tuMakamua nilikuta wanaonesha harusi yake last week; ameoa. Anaonekana yupo sawa...
Daaah, nakumbuka hii ngoma ilipigwa mwaka 2009 nikiwa kwenye tukio moja hivi.....
😅😅😅 kuna matukio mtu ukiwa yakumbuka unaweza jishangaaDaaah, nakumbuka hii ngoma ilipigwa mwaka 2009 nikiwa kwenye tukio moja hivi.....
Ule ulikuwa ni Ubatili mtupu....
Yes cocaine inabidi uwe na Hela ya kutoshaCocaine inabidi uwe na chanzo cha kueleweka cha kipato...ukiwa na hela cocaine wala haikuchoshi utakufa tu ghafla kwa mshtuko kwa moyo... Mateja wengi bongo hawamudu cocaine wanaishia kwenye Heroin au machalas (mabaki tu ya cocaine)
Unamix madesaMzee wa hakunaga, nyimbo zake zimeniburudisha sana, mengine ni mapito ya dunia tu
Unamzungumzia jose mtamboHiv huyu ndio jamaa Kuna ngoma katoa na Roma kidole Cha mwisho juu? Au mm naelewa mwingine