[emoji38]Ebwana nimeenda kuangalia hiyo interview yote full YouTube, huyo mshkaji wake wa pembeni chenga pro max[emoji28][emoji28][emoji28]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji38]Ebwana nimeenda kuangalia hiyo interview yote full YouTube, huyo mshkaji wake wa pembeni chenga pro max[emoji28][emoji28][emoji28]
That girl Enika alikua na sauti nzuri🥰
Kwa nini cocain ni ghali?Cocaine inabidi uwe na chanzo cha kueleweka cha kipato...ukiwa na hela cocaine wala haikuchoshi utakufa tu ghafla kwa mshtuko kwa moyo... Mateja wengi bongo hawamudu cocaine wanaishia kwenye Heroin au machalas (mabaki tu ya cocaine)
Hakunaga ni sumalee sio joslinMzee wa hakunaga, nyimbo zake zimeniburudisha sana, mengine ni mapito ya dunia tu
Da kusema kweli sijui...Kwa nini cocain ni ghali?
Sanaaa Enika wa Baridi 🔥🔥🔥That girl Enika alikua na sauti nzuri🥰
Kazi ya kaka mkubwa master jHeko kwa producer wake
[emoji38][emoji38][emoji38]Ulikuja mjini lini?
Dah mkuu unauzoefu sana na haya mambo asee[emoji38][emoji38][emoji119]Cocaine inabidi uwe na chanzo cha kueleweka cha kipato...ukiwa na hela cocaine wala haikuchoshi utakufa tu ghafla kwa mshtuko kwa moyo... Mateja wengi bongo hawamudu cocaine wanaishia kwenye Heroin au machalas (mabaki tu ya cocaine)
Yeah hii hipo sana kwenye jamii yetu hii.Nimegundua mtu ukilost wajuba wanafurahi sana[emoji38]
[emoji16] ilibaki kidogo tu nizame humo...pia nina bro mpaka leo tunahangaika nae na marehabs..Dah mkuu unauzoefu sana na haya mambo asee[emoji38][emoji38][emoji119]