Kwani huyu ndo aliimba hakunaga mkuu au mm ni wajuzi ...?😁Mzee wa hakunaga, nyimbo zake zimeniburudisha sana, mengine ni mapito ya dunia tu
Mzee wa Hakunaga ni Sumalee,Mzee wa hakunaga, nyimbo zake zimeniburudisha sana, mengine ni mapito ya dunia tu
Mbona yuko fit tu au ulitaka kusemaje sema hapo ni aidha amepiga Kvant au Weed au vyote,Salaam ndugu zangu,
Mnamkumbuka msanii mkali wa RnB miaka ya 2000 ya mwanzoni Joslin. Msanii huyu alitamba na vibao mbalimbali ikiwamo Niite basi...
Kachanganya files, sumalee ni sheikh now.Kwani huyu ndo aliimba hakunaga mkuu au mm ni wajuzi ...?[emoji16]
HahahahahaKachanganya files, sumalee ni sheikh now.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
kawaida sana, acha kupotosha.Kwao pesa zopo
joseline