Daah! Fumanizi la weekend limenitia kiwewe


Ni bora angalau unajishauri mwenyewe wangekuwa vijana wa kileo wangeuliza sijui nifanyeje.

BTW kataa tu sio wewe kuna mtu kakuwekea bila wewe kujua na haujui lengo lake nini?

Sikiliza haka kawimbo ka Shaggy kakupe mwanga
 
Dah!!...Hiyo tabia ya kubeba ndomu nilizotumia nikiwa Guest ninayo.

Ila kujisahau kuzitupa siwezi na haiwezi kutokea kwa kweli.

Umefanya kitu kimbaya sana mkuu.

Pole Sana

"Enough of No Love"
 
sema ulipitiwa na shetani mkuu!
 
Kamwambie ulipokuwa kikaoni jamaa yako aliazima koti
Ha haaa hlf kwanini mnakuaga na sababu za kitoto hivyo. Yaani Kuna mtu namfahamu anaweza toa hiyo sababu Tena macho makavuuu
 
Reactions: Pep
Ha haaa hlf kwanini mnakuaga na sababu za kitoto hivyo. Yaani Kuna mtu namfahamu anaweza toa hiyo sababu Tena macho makavuuu
Mkuu kiuhalisia jamaa kapatikana. Lkn sometimes inabidi utoe tu sababu yoyote na ubabe kidogo ili kulimaliza tu swala. Sasa unadhani ukikubali hapo kifatacho nini!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…