Daah! Fumanizi la weekend limenitia kiwewe

Mkuu kiuhalisia jamaa kapatikana. Lkn sometimes inabidi utoe tu sababu yoyote na ubabe kidogo ili kulimaliza tu swala. Sasa unadhani ukikubali hapo kifatacho nini!?
Aisee sio kwa sababu hiyo ha haa
 
Kazi kweli kwel

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ni chai tu
Maana haingii akilini uchukue Ndomu uliyokwisha tumia kwani hio gest haina choo, au dustbin
Ata km hivo havipo unatupa chini tu madhal umelipa watafanya usafi wenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asee ulikosea sana... pale alipokuonyesha tu kabla hajasema neno ungemkomalia akwambie ukweli kazitoa wapi na kazitumia na nani..!! Ila pole sana bro, kila dhambi inamalipo yake inabidi uwe mpole tu usubiri uruma ya wife

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa huu si ndio muda muafaka wa kuhamia kwa mchepuko...

Paka akiondoka panya hutawala...
 
Yani jamaa kushangaa ikaonekana kosa kalibeba tayariii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hapo unamgeuzia kibaooo yanii haamini japo atamind lakino fresh...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…