Daah Nimefika Dar es Salaam mbona sifa nilizozipata ni tofauti

Daah Nimefika Dar es Salaam mbona sifa nilizozipata ni tofauti

Wakafanye nini sasa ikiwa hakuna sababu yoyote ya kuwapeleka Dsm?
Wengi husubiri itokee misiba ya ndugu zao ndo wanakuja kwa lifti ya gari la ng'ombe na wakifika huku ndo jumla wanajifanya wanajua sana na huanza kusumbua wenyeji.
 
Subiri mvua inyeshe kwa wingi then uangalie nyodo zao na makazi yao kama yanalingana ukiachilia mbali kukanyanga vinyesi vya maji machafu Dar. Hakika huwa najivunia sana home Mwanza aka Ng'wanza
Uko ng'wanza ipi mkuu..?
Maana kuna Ng'wanza ya madaso
Na Ng'wanza yenyewe.
 
Pole sana, Hiyo ndio Dar es salaam zaidi ya uijuavyo..
Dar ambayo wakazi wake huita watanzania wenzao "nyie wa mikoani" bila kujua na wao walipo ni mkoa
 
Nenda Duniani kote,Luna Yale maeneo ya uswazi lazima!
 
174ed72e363c050a0d45690d9a651886.jpg
 
Wewe ulisikia sifa zipi?! Mbona ITV kila mara wanaonesha hizo 'chambers' zinazotema kinyesi!! Mbona kila mara mafuriko yanaonekana!! Hebu eleza vzr 😱😀
huyu mzinguaji ni mkenya kuna thread ya battle baina ya dar na nairobi ivyo kuna uswazi za nairobi ni mbayaa kupindukia inaitwa kibera basi dizain anataka kucompare uswazi yao ya kenya ambayo ni mabanda na tope na uswazi ya bongo ambayo watu wanaishi kwenye nyumba za tofari na mabati..angekuwa kafika kwel angeonyesha picha zaidi ya alichokutana nacho....muongo
 
Dar kubwa kijana. Kuna sehemu ukipita utaona bora kolomije maana pombe zinapikwa vibaya kama kawe na kigogo walai hizo sehemu sijui kwa nn nako kunaitwa dar.

Ila jaribu kwenda posta, masaki, osterbay, mikocheni, upanga, nk ili walau uamini kuwa umeingia dar ila we umeenda sokoni ukatarajia kuona tofauti na kolomije hapana
nyie msipate tabu nakuja na picha za uswahilini mwa nairobi na mlinganishe na dar ...utachoka ....
 
hyo ndyo moja kati ya uswazi ya nairobi nchini kenya ..na zipo nyingine si kibera pekee hzo ni baadhi je wap kunafanana na uswazi za dar mfano kigogo,vingunguti,bonde la keko je panalingana..?
images+%282%29.jpg
4654312e5c24177703a172f04967aec4.jpg
images+%281%29.jpg
ZIF099SE0003.jpg
 
mnao danganywa na jama a utadhani ametoka washngton dc hayo ndyo mambo yao ..hzo ni baadhi ya sehemu tu ni nairobi uswaz....ila jinsi wanavuojipaisha utasema bonge la jiji ....na wabongo wengi ambao hawajatembea kenya ndyo wanavyojua...asanteni nilipita tu hapa
 
Hats Mimi ccm ninayoiona siyo ile niliyokuwa naiskia
 
Back
Top Bottom