Dabi ya Yanga na Simba ilikuwa safi mno, timu hizi zinazidi kupendwa!

Hawa ni watalii km unavyojua watalii vijana hawana mambo mengi na muda mwingi wapo free

Wanapenda sehem zenye mikusanyiko ya burudani

Wanaweza kuwa hawajui chochote kuhusu simba na yanga
Umemjibu vema kabisa na huwa wale tour guide wanawaongoza kwenye major events zinazotokea ili kuwapa burudani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…