Dada aliyemuua jambazi katika harakati za kumuokoa mume wake: Sheria imekaaje? Je, ana kesi yoyote ya kujibu?

Dada aliyemuua jambazi katika harakati za kumuokoa mume wake: Sheria imekaaje? Je, ana kesi yoyote ya kujibu?

Kiakili ya kawaida tu hana kesi kwa sababu hakuna wa kumtetea aliyeuliwa ambaye ni mwizi

Kiakili ya sheria sijui imekaaje
Ili kesi ikamilike mashahidi muhimu,jambazi hana shahidi
 
Nasikia askari aliyeajiriwa kwa kazi ya kunyonga kule gerezani, akishanyonga tu anadakwa kisha anasomewa mashitataka. Baada ya hapo anakiri ni kweli ameua ila ni kwa mujibu wa sheria.
Baada ya kuachiwa anavuta mfungwa mwingine ananyonga kisha anadakwa tena, yaani mzunguko ni uleule.

Labda na hii itafanana, yaani adakwe, asomewe mashitaka na akiri kuwa ni kweli ameua ila alikuwa anajilinda yeye na mumewe.
 
emoji38.png
emoji38.png
emoji38.png
Naomba nione kucha zako dada mkubwa
Aisee,ninazo sasa
[emoji38][emoji38][emoji38]Naomba nione kucha zako dada mkubwa
 
Back
Top Bottom