Kalunya
JF-Expert Member
- Oct 5, 2021
- 13,322
- 18,609
Ili kesi ikamilike mashahidi muhimu,jambazi hana shahidiKiakili ya kawaida tu hana kesi kwa sababu hakuna wa kumtetea aliyeuliwa ambaye ni mwizi
Kiakili ya sheria sijui imekaaje
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ili kesi ikamilike mashahidi muhimu,jambazi hana shahidiKiakili ya kawaida tu hana kesi kwa sababu hakuna wa kumtetea aliyeuliwa ambaye ni mwizi
Kiakili ya sheria sijui imekaaje
Njaa kaliMajambazi au vibaka.! Jambazi gani anamendea vihela vya Mpesa.?
Ndo wake wa kuoa hao sasa....siyo mnaangalia kucha ndefu tu sijui watabebaje hizo gongo....
Ipo ila kesi inakua kuua bila kukusudia (manslaughter).Hakuna kesi
Wewe tena🤣🤣🤣🤣Moja kwa moja apewe zawadi ya mimba na mumewe kama nishani ya ushujaa
Aisee,ninazo sasa![]()
Naomba nione kucha zako dada mkubwa![]()
[emoji38][emoji38][emoji38]Naomba nione kucha zako dada mkubwa
Umenikumbusha jambo mkuu, nje ya mada, hivi kesi hiyo imefikia wapi?Hapo labda wale majambazi wengine wajitokeze kumfungulia mashtaka kama Kubenea na Makonda [emoji16][emoji16]
Umenikumbusha jambo mkuu, nje ya mada, hivi kesi hiyo imefikia wapi?
Uking'ang'anizi wa Kubenea waweza kuwa na msukumo wa viongozi flani flani wa kisiasa na mwisho wa siku aibu aweza kuibeba peke yake, maana wanasiasa ni vigeu geu sana.
Mkikolomeana kidogo tu humo ndan utasikia "usinitibue akili yangu nazan uliona wale majambazi nilichowafanya, sasa wewe endelea tu"
Moja kwa moja apewe zawadi ya mimba na mumewe kama nishani ya ushujaa
Aongezwe mtotoKwani kabla ya hapo hakupata mimba weee mdau!
Limewazidi hadi wanaume flani flani wa hapo daslamu.Janamke la mkoani likionyesha uanamke wa shoka