Dada angu anafanya kazi kwa wahindi, ananyanyaswa na kushikwa sehemu za siri

Mwambie aje kufanya kazi kwangu sitagusa sehemu zake za siri bila ridhaa yake.
Mwambie anicheck PM.
 
Boss, ile hadithi yetu ya Lindi vipi?
 
Hakuna kitu kama hicho maana wanabebwa sana na serikali ndomana wapo mjini sisi tunarundikana uswahilini
 
TTautA
Tafuta pesa umuokoe dada yako.
 
We jamaa ni fala sana.

Ningekuwa karibu na wewe ningekuta makofi.

Dadako anaendelea kudhalilika unamwacha hapo

Siku wakimuua ndio akili itakukaa sawa

Maana wahindi ni washenzi wa tabia.

Wao wenyewe tu wanabaguana seuze huyo dada yako.

Mtoe haraka sana hata ikiwezekana kwa ubabe

Atakuja kukushukuru baadae

Siku ingine ukileta hizi stori tuambie umefanikiwa kumtoa hapo

Mbona shughuli ziko nyingi jamaani hadi umuache adhalilike hapo.

Halafu wewe huna kazi hadi unaenda kwenye nyumba ya mtu kusalimia[emoji15]
 
Mngemkata makofi pale pale
 
Wewe jamaa mpumbavu sana, unaendaje kumsalimia housegirl wa watu? Hao wahindi wangekushika matako ili ujue mpaka ya kazi ya housegirl?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…