Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,540
- 30,875
- Thread starter
-
- #141
Hujielewi weweSiwatetei lakini unyanyasaji wa watu wa kada za chini upo kila sehemu, wadada wa kazi wanaonewa katika nyumba nyingi sio za Wahindi peke yake. Kama tunashindwa kuwaheshimu wafanyakazi wa bar... tofauti yetu ni ni na hao wahindi?
Mtafutie kazi nyingine dada yako, sio kila siku unakuja kulilia hapa; mara wanampa chakula cha jana, mara wanamshika matiti.Hujielewi wewe
Hata mimi sina kazi vilevileMtafutie kazi nyingine dada yako, sio kila siku unakuja kulilia hapa; mara wanampa chakula cha jana, mara wanamshika matiti.
Wale wajinga dah yan had watoto wanashika nyonyo za dada dah yan mbaya sanaMtafutie kazi nyingine dada yako, sio kila siku unakuja kulilia hapa; mara wanampa chakula cha jana, mara wanamshika matiti.
Hapana ndugu hapo umekosea hatakama kuna umaskini lazma aweke malengo ikifika wakati asepe hapo udhqliloshaji siyo poa utu ni bora zaidi .... nahisi ukiwa hupo hao wahindi nahisi wanamfanyia mambo mabaya zaidi ya uliyo yaona japo sista anakausha tuNdio ni lazima
Wangekua hawajielewi nchi zao zingekua na utajiri walio nao? ingekua hawajielewi wangeitumia natural resource ya mafuta kujenga nchi zao?Hapana ila ni moja ya watu tu wasiojielewa
Yeye mwenyewe anataka kuokolewa,TTautA
Tafuta pesa umuokoe dada yako.
Mbona kama hujui kinachoendeleampwayungu village KAMALIZIE STORY YAKO POLE NA MIHANGAIKO.
Zile harakati zako za kusaka kazi bado zilidunda ?Hata mimi sina kazi vilevile
Kosa lipiHapo umefanya kosa la kimantiki
Mkuu hii nayo ikiitwa chai yule jamaa atakasirika kwel?Inasikitisha
Ongezea na michina. Hizo ndude zote zisikiage tu. Wazungu wako smart sanaSina ndugu, jamaa hata rafiki na hao viumbe sijui nyarabu, hindi ni wapuuzi na wapumbvu..
Bora wale wakoloni zetu waingereza hawanaga ujinga huo
Unamjua huyo dada ake au kaweka picha yake ndo useme kamdhalilishaKwa uzi huu,kwa kusoma heading tu,huoni km na wewe unamdhalilisha dada yako??. Kulikuwa na sababu gani hadi kusema kabisa kuwa anashikwa sehemu za siri??.Ungesema tu kuwa anadhalilishwa ingetosha Mkuu,Watu wazima tunakuwa tayari tumeshaelewa.
Chungu ila inaponyaHilo suala limeenea karibu ulimwengu mzima, si suala la jamii fulani tu
Hata kwa hapa kwetu Afrika hilo lipo na tena ni mashuhuri mno eg. kwenye majumba yetu "watoto wa kiume & baba zao" huwa wanawafanya nini wafanyakazi wa ndani? Au kwa wewe huu si unyanyasaji hadi afanyiwe dada yako tu?
Ukitaka kummulika nyoka anzia kwenye miguu yako
#Kemea na piga vita aina zote za unyanyasaji
Nadhani hujanielewa.Unamjua huyo dada ake au kaweka picha yake ndo useme kamdhalilisha