Dada aponzwa na gauni jekundu la valentine atoka nduki Guest house kisa njemba imejaliwa!

Dada aponzwa na gauni jekundu la valentine atoka nduki Guest house kisa njemba imejaliwa!

kipara kipya

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2016
Posts
18,833
Reaction score
23,276
Haya mambo ya kuiga maisha ya kizungu na kupenda vitu ambavyo huna uwezo navyo yanatufikisha pabaya. Usiku wa kuamkia leo, kizaazaa kimezuka katikati ya jiji ndani ya eneo la guest.

Dada mmoja alijikuta akikimbia nje mbio akiwa na chupi mkononi baada ya kushindwa kuhimili ukubwa wa pongoo la njemba aliyekuwa naye.

Akiwa hana jinsi, dada alikimbilia kwa walinzi wa jengo jirani ili kuomba msaada. Walinzi walifanikiwa kumrudisha ndani ya guest na kumsaidia kuchukua nguo zake.

Akisimulia kwa ufupi sana, dada alisema njemba iling’ang’ania kuzima taa, na hapo ndipo alipoanza kuhisi kama anasokomezwa joka la sawaka. Alipata wakati mgumu kupumua, huku uwezo wa kuendelea na "mchezo" ukitoweka kabisa kutokana na ukubwa wa pongoo la njemba.

Mwisho wa simulizi yake, dada huyo aliomba msaada wa usafiri ili kurejea kwao Mbezi Jogoo, ambako alisema anaishi na dada yake.

Wakati hayo yakitokea, njemba iliteleza kama kambare, ikachukua boda boda na kutokomea kusikojulikana.

Kwa kuheshimu utu wa dada huyo, sikupiga picha. Lakini dada zetu, usikubali kutoka na mtu
 
Haya makitu ya wazungu na habari za kupenda mambo usiyo na uwezo nayo .....usiku wa jana kuamkia leo kuna varangati limeanguka dada ametoka mbio na pichu mkononi ndani ya uga wa guest kati kati ya jiji ni aibu ni ....baada ya kushindwa kuhimili ukubwa wa pongoo ya njemba....dada ilibidi akimbilie kwa walinzi wa jirani na jengo la guest hiyo kumuokoa. ...walifanikiwa kumrudisha guest na kuchukua nguo zake...akisimulia kwa ufupi sana anasema njemba iling'ang'ania kuzima taa ndipo dada alipohisi kama anasokomezwa joka la sawaka na kuhisi pumzi zinakata na uwezo wa kukata kiuno pia haupati kwa ukubwa wa pongoo mwisho wa simulizi yake nasi tulimuacha akitafutiwa usafiri wa kumfikisha kwao mbezi jogoo kama alivyodai ndiko anakoishi na dada yake...yote hayo yakifanyika njemba nayo iliteleza kama kambare kwa kuchukua usafiri wa boda boda na kutokomea kusikojulikana....sikuchukua picha kulinda utu wa yule dada ila inasikitisha dada zetu usikutane na jitu tu ukakubaki kutoka nalo jiridhishe kwanza......
Haaahaa 😅 siku nyingine picha usisahau kuchukua 🤣🤣🤣
 
FB_IMG_17395134447022883.jpg
 
Back
Top Bottom