Dada emyta moyo wangu umekutunuku

Naheshimu wake za watu Mimi coz what goes around comes around
Sawa mkuu kwa style hiyo unaweza kutongoza wanawake wote na usipate kitu mkuu.
Unajua unatakiwa kumtongoza hadi mwisho unamuonea huruma unamsaidia kupotezea kisa ndoa yake.

Jibu la kuwa na mtu kwa mwanamke ni la kawaida mno na kila mwanamke anaweza kukujibu hivyo mwanzoni.
 
Thanks Dada ake kwa majibu yakutia moyo nisalimie Shem,
hahahah!!
mara hii umemuita dada?
Hivi ndivyo unavyotongoza?
Acha kubadili gia angani mkuu!!

Kwanza ulipaswa umwambie akanushe mara moja kukuita dogo.

Unapaswa kutambua kwamba, HAKUNA MWANAUME MDOGO. Hata angekuzidi miaka 20.
 
Hawa watoto wa siku hizi wanakimbilia ya wakubwa yenyewe hawayajui kazi kuchafua hali ya hewa tuu sijui wanataka tuanze darasa la watoto wanaoelekea ukubwani?
 
Hawa watoto wa siku hizi wanakimbilia ya wakubwa yenyewe hawayajui kazi kuchafua hali ya hewa tuu sijui wanataka tuanze darasa la watoto wanaoelekea ukubwani?
Itakua kaiba simu ya mama yake, kwa mtongozo ule hana hata sifa ya kumiliki smatfoni
 
Mke wa MTU ni sumu jamani,MTU akishakuambia moyo wake una mwingne huna budi kuelewa unless uking'ang'ania itaja kucost tu
Hivi jiulize kama baada ya huo uzi emmyta angekujibu positive kama hadhima yako usingeshtuka chochote?
Upendo unatengenezwa mkuu. Ukaribu na mambo mengi.

Hii sawa na ukutane na mwanamke barabarani utongoze hapo hapo na jibu unataka hapo hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…