Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,448
AsanteHahaaa. Pole sana mumy
Hongeraa kwa ben ten
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AsanteHahaaa. Pole sana mumy
Naheshimu wake za watu Mimi coz what goes around comes aroundMkuu umeflow mapema hivyo.
We ulikuwa unaigiza tu na kuongeza nyuzi jf.
Sawa mkuu mi naangaliaga tuNipo nakula likes kule
Alikuwa anafanya jaribio la kurusha kombora.
Mwezio anahitaji kuhiifadhiwa, amekuchagua wewe miongoni ya maelfu waliomo humu.Jamani Mangi. Mmh
Mke wa MTU ni sumu jamani,MTU akishakuambia moyo wake una mwingne huna budi kuelewa unless uking'ang'ania itaja kucost tuHahahaaa. Umeona rafiki.
Sawa mkuu kwa style hiyo unaweza kutongoza wanawake wote na usipate kitu mkuu.Naheshimu wake za watu Mimi coz what goes around comes around
Nimeona sana tu best.Hahahaaa. Umeona rafiki.
Kwenye ubora wakoSawa mkuu kwa style hiyo unaweza kutongoza wanawake wote na usipate kitu mkuu.
Unajua unatakiwa kumtongoza hadi mwisho unamuonea huruma unamsaidia kupotezea kisa ndoa yake.
Jibu la kuwa na mtu kwa mwanamke ni la kawaida mno na kila mwanamke anaweza kukujibu hivyo mwanzoni.
Ni udhaifu huo.Jamani mangi itakuwa kaona ndio njia sahihi ili kila mtu aone kwamba kamfia emmy.
احتيHahaaa. Nshakuja kaka ake.
[emoji2] [emoji2] [emoji2]Mkuu fanyia kazi uandishi wako kwanza maanake huyu dada ni mtu makini kama Faiza Foxy asije kukwambia huko shule ulisomea ujinga.
Duuh.
Naomba nikusalimie mkuu. Mzima?
hahahah!!Thanks Dada ake kwa majibu yakutia moyo nisalimie Shem,
Hawa watoto wa siku hizi wanakimbilia ya wakubwa yenyewe hawayajui kazi kuchafua hali ya hewa tuu sijui wanataka tuanze darasa la watoto wanaoelekea ukubwani?hahahah!!
mara hii umemuita dada?
Hivi ndivyo unavyotongoza?
Acha kubadili gia angani mkuu!!
Kwanza ulipaswa umwambie akanushe mara moja kukuita dogo.
Unapaswa kutambua kwamba, HAKUNA MWANAUME MDOGO. Hata angekuzidi miaka 20.
Nzuri kabisa namshukuru M'Mungu.
Hahaaaa. Kaamua kumjaribu muhenga.
Weekend inasemaje lakini?
Mlee mtoto aisee acha roho ngumu hujui mtoto wa mwenzio mwanao?Nzuri kabisa namshukuru M'Mungu.
Hahaaaa. Kaamua kumjaribu muhenga.
Weekend inasemaje lakini?
Itakua kaiba simu ya mama yake, kwa mtongozo ule hana hata sifa ya kumiliki smatfoniHawa watoto wa siku hizi wanakimbilia ya wakubwa yenyewe hawayajui kazi kuchafua hali ya hewa tuu sijui wanataka tuanze darasa la watoto wanaoelekea ukubwani?
Jamaa kaniwahi..Nini tena?
Hivi jiulize kama baada ya huo uzi emmyta angekujibu positive kama hadhima yako usingeshtuka chochote?Mke wa MTU ni sumu jamani,MTU akishakuambia moyo wake una mwingne huna budi kuelewa unless uking'ang'ania itaja kucost tu