Linamo
JF-Expert Member
- Jan 12, 2011
- 9,976
- 24,496
Hahaaaa mzima lakini?Hahahaaa. Nakukubali ujue swahiba
Miss you
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaaaa mzima lakini?Hahahaaa. Nakukubali ujue swahiba
Nzuri kabisaaaMie mzima kabisa. Miss u too mwaya.
Habari ya Jumapili?
Ukweli huishi,ata Mimi huwa nakuelewa sana kwa pointing zaka silizo simamaNianze kwa kukushukuru mdogo wangu kwa kunipenda mana sifa ulizozimwaga sio za nchi hii.
Ila nikwambie tu ukweli nishawahiwa tayari mdogo wangu. Pia nikupe sifa mana mpaka umejitolea kunianzishia uzi inaonekana umeogopa kufa na tai shingoni.
Barikiwa sana mdogo wangu na ninakuombea kwa M'Mungu nawe uje kufanikiwa kumpata mwenye sifa kama za emmy mana kwa 80% ya ulichokiwaza kichwani mwako ndio emmy wa ukweli yupo hivyo.
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
[emoji12] [emoji12]emyta njo huku papuchi yako inaliliwa.
Aisee![emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ina maana nawe ni mhenga km bibi ff?Hahaaaa. Itakuwa hajajua mi mwenzie muhenga.
Mtu kaona bora afunguke tu swahiba!Nini tena swahiba? [emoji23]
[emoji23] kumbe unamjua!Itakuwa nakaribia kumpita ujue.
Kibibi mie. [emoji85] [emoji85]
[emoji23]Niliona kuna mtu alimrusha kwenye ile interview yake. [emoji2] [emoji2]
umesahau na ile ya kutoswa na bikra
HahahaMkuu fanyia kazi uandishi wako kwanza maanake huyu dada ni mtu makini kama Faiza Foxy asije kukwambia huko shule ulisomea ujinga.
Hahah iweke mkuuumesahau na ile ya kutoswa na bikra
Nianze kwa kukushukuru mdogo wangu kwa kunipenda mana sifa ulizozimwaga sio za nchi hii.
Ila nikwambie tu ukweli nishawahiwa tayari mdogo wangu. Pia nikupe sifa mana mpaka umejitolea kunianzishia uzi inaonekana umeogopa kufa na tai shingoni.
Barikiwa sana mdogo wangu na ninakuombea kwa M'Mungu nawe uje kufanikiwa kumpata mwenye sifa kama za emmy mana kwa 80% ya ulichokiwaza kichwani mwako ndio emmy wa ukweli yupo hivyo.
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
ngoja nimkaushie tu maana hii tabia ya kufunguka hadharani imekuwa kama fasheni...Hahah iweke mkuu
Kweli aisee mkuungoja nimkaushie tu maana hii tabia ya kufunguka hadharani imekuwa kama fasheni...
Miaka michache iliyopita kulikuwa na uzi wa "Mtongozano kiutu uzima" watu wakafungukiana humu, kwa wote waliokuwepo kipindi kile wakiona hizo nyinzi za sasa inakuwa ni kama zilipendwa tu.
Ila ndio hivyo uhuru wa kujieleza,
Hichi kibuti ni cha mbavuni mixer kwny bandama... Cjui kam kapona aliyetunuku!Nianze kwa kukushukuru mdogo wangu kwa kunipenda mana sifa ulizozimwaga sio za nchi hii.