Hahahaa kweli ngoja tuone maana hawataki kutuuliza Baba zao tumewapataje Mama zao kazi kuonea wivu baba akilala na Mama ndiyo anakuja kusumbua hukuItakua kaiba simu ya mama yake, kwa mtongozo ule hana hata sifa ya kumiliki smatfoni
Bibie tunajaribu jaribuKwenye ubora wako
Ndiyo fanya juhudi za malezi kwa mtotoHahaaaa. Aiseee.
Daah yan we acha tu. Vip huko Piemu kunaendelea nini.? [emoji2] [emoji2]Heeee. Nawewe ulikuwa mbioni kumbe duuh
Aisee naona nyota imewaka angalia maana ni hatari ukiona giza linazidi jua kunakucha mamaHeeee. Nawewe ulikuwa mbioni kumbe duuh
OoohBibie tunajaribu jaribu
We hutaki Ben ten[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaaa. Napambana na muhenga mwenzangu swahiba hawa vijana wana saizi yao ujue.
Nashukuru Mungu niko poa.Hapana bana hata siwataki swahiba. [emoji23]
Niambie vp uko poa?
Ulitaka nimuite mjomba
Hahaaaaaa naona umeniitia jeshi[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]Swahiba we mchozi ujue. [emoji23]
Numbisa, Sakayo carbamazepine njooni kuna mtu anataka kuharibu hali ya hewa huku. [emoji85]
Hahaaa. Kabisa yaani mkuu.
Nimefurahi sana kusikia kwamba weekend yako iko poa.
Hao siwaogopi hata kidogo siunajua mi ndo major General[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23]
Imebidi swahiba mana sina jinsi.
AfandeeeeHao siwaogopi hata kidogo siunajua mi ndo major General[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
YesAfandeeee
Usalama wa taifa hili upo shwar?
Taifa hili la chitchat usalama uko wa kutosha kabisaUsalama wa taifa hili upo shwar?
Mama mlezi upo shwar?Hahahaaa. Nakukubali ujue swahiba