Dada emyta moyo wangu umekutunuku

Ukweli huishi,ata Mimi huwa nakuelewa sana kwa pointing zaka silizo simama
 
Hahaha aisee...avatar tu imekupagawisha.

Wanawake wazuri wazuri wameolewa,wamebaki..............
 
Mh! [emoji106][emoji1419][emoji1419][emoji1419][emoji1419][emoji1419][emoji1419][emoji1433][emoji1433][emoji1433][emoji1433]


 
Hahah iweke mkuu
ngoja nimkaushie tu maana hii tabia ya kufunguka hadharani imekuwa kama fasheni...
Miaka michache iliyopita kulikuwa na uzi wa "Mtongozano kiutu uzima" watu wakafungukiana humu, kwa wote waliokuwepo kipindi kile wakiona hizo nyinzi za sasa inakuwa ni kama zilipendwa tu.
Ila ndio hivyo uhuru wa kujieleza,
 
Kweli aisee mkuu
 
Hichi kibuti ni cha mbavuni mixer kwny bandama... Cjui kam kapona aliyetunuku!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…