Dada emyta moyo wangu umekutunuku

Hivyo dada ukiamua kupiga kizinga sio cha mchezo mchezo. Hongera sana aisee.

Hahaaaa. Kumbe aunt yangu yuko kama mimi. Sa sijui tujipe hongera au pole.
Kizinga hakitakiwi kiwe kidogo, kinatakiwa kiwe cha haja kweli kweli.
Hawezi kama wewe tu, ye yuko busy kunipiga vizinga mama yake tu.
 
Mie tena nisilijue hili!? Haya ulale unono na njozi njema [emoji1431][emoji1431][emoji1431][emoji257][emoji257][emoji257]


[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]

Sio kwa kuniotea huko hapa nilikuwa napanga namna ya kuwakimbia ujue.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kibibi weye! [emoji86][emoji86][emoji86][emoji86][emoji86]


Itakuwa nakaribia kumpita ujue.

Kibibi mie. [emoji85] [emoji85]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]tena na mvi za kutosha tu [emoji86][emoji86][emoji86][emoji86][emoji86][emoji86]

Kwani uongo jamani. Sema tu ukweli BAK. Mimi sio kibibi kwani. [emoji12] [emoji12] .

[emoji85] [emoji85] [emoji85][emoji85]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…