Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Alikanusha, alisema sio yeyeNiliona kuna mtu alimrusha kwenye ile interview yake. [emoji2] [emoji2]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alikanusha, alisema sio yeyeNiliona kuna mtu alimrusha kwenye ile interview yake. [emoji2] [emoji2]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]Hahaaa. Inabidi nijifunze mdogo wangu mana sijawahi piga mtu mzinga ujue.
Sawa dada yangu, tupambane na hali yetuWacha nihangaike mdogo wangu tutakamalizia kwa jasho letu bana. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahaaa. Inabidi nijifunze mdogo wangu mana sijawahi piga mtu mzinga ujue.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Hahaaa. Unanijua mwifwa dada yako sio kigagula kwani. [emoji85]
Hii hekima na busara zimefanya dada yangu ashindwe kupiga mzinga aisee.[emoji86][emoji86][emoji86][emoji86][emoji86]ololololololo!
Kizinga hakitakiwi kiwe kidogo, kinatakiwa kiwe cha haja kweli kweli.Hivyo dada ukiamua kupiga kizinga sio cha mchezo mchezo. Hongera sana aisee.
Hahaaaa. Kumbe aunt yangu yuko kama mimi. Sa sijui tujipe hongera au pole.
Ujumbe huo umeuonaa?Niambie mdogo wangu
Si mpaka muwe na huo ujasiri haswa kipindi hiki cha anko.Hahaaa. Sikuwezi dada yake.
Haya bana huenda na sisi tukaja kubadilika siku moja.
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
Sio kwa kuniotea huko hapa nilikuwa napanga namna ya kuwakimbia ujue.
Nawe pia mamii.Hahaaaa. Uwe na usiku mwema dada ake
Ahsante sana
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
[emoji4] [emoji4] [emoji4] umemwambia ukweli lkn,usijetupa fuko la dhahabu ....Nimeuona mdogo wangu ila ndio ameshachelewa tayari.
Hahahahahaaaa
Wakikukubalia niunganishe na mimi.
Ubuyu haujawahi kuniacha salama kabisa
Na amkome dada yangu kabisa
Nakaba hadi penalti NumbisaAah wee nawe ukaka gani huo wa kuzibiana fursa
Itakuwa nakaribia kumpita ujue.
Kibibi mie. [emoji85] [emoji85]
Kwani uongo jamani. Sema tu ukweli BAK. Mimi sio kibibi kwani. [emoji12] [emoji12] .
[emoji85] [emoji85] [emoji85][emoji85]