Dada hukua hata na muda wa kununua shangazi kaja!

Naona mpaka dawa ya mbu anasepa nayo
 
Hivi ni kwanini huyo shoga anafurahia kila ndoa inayovunjika? Hata kama anahisi atapata nafasi sasa atafanywa na wangapi, maana kila ndoa ikijikoroga anafurahia kumzidi shetani
 
Hata ile waaaooo shangazi hana!
Asa ivo vitu vilitunzwa sakafuni bila mabegi ya kuhifadhia?
Hizi ndoa za kiki huwa zina lengo la showoff tu, hakuna cha mapenzi wala kupendana hapo.
Tatizo siyo kwa mwanamke, tatizo analo huyo zeru zeru.
Usipende kumuita mtu kwa mapungufu yake aliyopewa na Mungu ni mbaya sana, hata wazazi wake walimzaa hawakujua ni mtoto wa aina gani yuko tumboni.
 
Njoo kwenye ukurasa wangu ujifunze jins ya kujitibu matatizo ya nguvu za kiume ukiwa nyumban kwako kwa zoez maalumu matunda mannee yaan ndiz karot parachich na tikit maji au kwa maji ya uvugu uvugu ukitibu unapona kabisa sababu unazibu mfumo hata kama huna tatizo njoo ujiiamrishe maana unakua unajiimarisha na kua imara zaid 0712505049
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…