Dada hukua hata na muda wa kununua shangazi kaja!

Dada hukua hata na muda wa kununua shangazi kaja!

Hata ile waaaooo shangazi hana!
Asa ivo vitu vilitunzwa sakafuni bila mabegi ya kuhifadhia?
Hizi ndoa za kiki huwa zina lengo la showoff tu, hakuna cha mapenzi wala kupendana hapo.
Tatizo siyo kwa mwanamke, tatizo analo huyo zeru zeru.
Wee umeamini kiwa kaondoka ki hivyo? ID ya manala hii kumdhalilisha huyo demu kichecche
 
Hata ile waaaooo shangazi hana!
Asa ivo vitu vilitunzwa sakafuni bila mabegi ya kuhifadhia?
Hizi ndoa za kiki huwa zina lengo la showoff tu, hakuna cha mapenzi wala kupendana hapo.
Tatizo siyo kwa mwanamke, tatizo analo huyo zeru zeru.
Hilo neno zeru zeru sio zuri Mkuu ukiweza liondoe
 
Ukifanikiwa kupata mwanaume anaekupenda usimuache
Ukiona mtu anateseka jua yeye ndo alipenda
Tatizo la Manara ni kufanya ndoa kama maonesho ya sabasaba. Badala atafute mke wa kuishi nae yeye anafanya maonesho, msimu ukiisha banda linafungwa anaenda kiwanja kingine kufungua Banda jingine. Sasa banda la sita Hilo tungoje sabasaba nyingine.
 
Au sio
1744374148210.png
 
Hilo neno zeru zeru sio zuri Mkuu ukiweza liondoe
Nitakuwa mnafiki nikiliondoa bila kuelezwa nomino mbadala.

Tumekuwa na tabia za kukosoa lugha ya kiswahili bila kuweka mbadala wake.

Neno 'ulemavu wa ngozi' ni maelezo ya kumuelezea zeruzeru na hiyo siyo nomino.

Tukisema albino, ni fasiri ya zeruzeru kwa kingereza.

Nimeomba wadau mnambie hao walemavu wa ngozi nomino yao huitwaje?
 
Nitakuwa mnafiki nikiliondoa bila kulezwa nomino mbadala.

Tumekuwa na tabia za kukosoa lugha ya kiswahili bila kuweka mbadala wake.

Neno 'ulemavu wa ngozi' ni maelezo ya kumuelezea zeruzeru na hiyo siyo nomino.

Tukisema albino, ni fasiri ya zeruzeru kwa kingereza.

Nimeomba wadau mnambie hao walemavu wa ngozi nomino yao huitwaje?
Jina ni ZERU ZERU kwa Kiswahili ila kwa English is ALBINO wakati hiyo hali ni UZERU ZERU kwa Kiswahili na ALBINISM in ENGLISH.Sasa maana ya jina la ZERU ZERU ni MTU MWENYE ULEMAVU WA NGOZI KUTOKANA NA NA NGOZI YAKE KUWA NA UPUNGUFU WA MELANIN...( hapa nime sahau ila niko tayari kusahihishwa). Ila kama ambavyo walio wengi wanaita SUMU YA MBU dawa ya mbu wakadhani ni sahihi vivyo hivyo wakisema ALBINO wana amini ni Kiswahili halafu ZERU ZERU ni dhahaka.
 
Back
Top Bottom