Ngoja niwahi position kabla wanyapala kuniwahi ..... majina yao kapuni ...
VINYWAJI ....
Baada ya vinywaji ntashughulika na urembaji ..
Naomba umwalike Klorokwin ajili ya vichekesho na "emergency " baadaye kama utamuhitaji looyaa ..
kikungu mimi nimetokea kwenye lile kabila maarufu linaloongoza kwa maduka na biashara hapa nchini,na pia tunaongoza kwa kupenda vilevi vya aina mbalimbali ikiwemo mbegeDuh sijui wewe Mtende kabila gani lakini mimi nitakuwa MTANI,yaani nitaangua kilio mpaka nipewe japo dollar mia ili ninyamaze na harusi iendelee.Hongera mwe kwa kuwa jiko,mtunze sana mwenzio ili asije kamatwa na wenzio na mpe anachokitaka bila hiyana hata hivyo usije msahau Ashadii kukupa mawaidha kabla ya ndoa
afrondenzi sasa hiyo kamati ya vinywaji wewe utakua mwenyekiti,hakikisha watu hawatoki na chupa za bia nje ya ukumbi, kuhusu urembaji naomba uje na seti nzima ya vipodozi maana siku hiyo itakuwa hekaheka
kuhusu first aid kit ipo tayari kwa ajili ya emergency za hapa na pale
The Finest, Teamo, Dena,lizzy luu mi niko kwenye vinywaji ..Narudia tena niko kwenye vinywaji .. hii position imesha jazwa ...🙂
aaaaaaaahhh pasi na nashaka muniwekege kwenye kupiga TUMBA lakini na kutomboka pia ntakuwemo.......aaah juu ya nini mapenzi yenu ufungwege ha kufuli sije kufunguka mamaaa na mutendeee wakuacheeeee.....