dada huyooo....anaolewa...mahari ishatolewaaaa

dada huyooo....anaolewa...mahari ishatolewaaaa

Mtende

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2010
Posts
6,385
Reaction score
7,332
kaka zangu na dada zangu wana jf nawakaribisha mje mniimbie kwenye harusi yangu huuu wimbo

dada huyooo anaolewa
dada huyoooo anaolewa
mahariiii ishatolewaaaa
mahariiii ishatolewaaaa

kwa watakao kuja please confirm ili niwaandalie kadi pamoja na notten za wimbo lol

nyani ngabu atakua anaimba solo, rosweeter atakua anaongoza msafara wa waimbaji, babu ngosha atakua anapiga kinanda na preta atatoa wosia kwa niaba ya mmu

tafadhali pendekeza jina la mtu wa kupiga gitaa, kucheza ngoma,kamati ya chakula, vinywaji nk
haya uwanja ni wenu
 
mimi nitakua nampepea bi harusi. Hio nafas usimpe mwengine.
 
nije kukusaidia nini

smile wewe pamoja na malaria sugu mtakua unatupa maua wakati bibi harusi na bwana harusi wanapita kuingia ukumbini
 
mimi nitakua nampepea bi harusi. Hio nafas usimpe mwengine.

shabban usijali nafasi umeipata ila sasa bwana harusi ni bondia na ana wivu kweli, hakikisha unapata mazoezi ya kutosha
 
Mi niweke kama mweka hazina. U can trust me.
 
Duh sijui wewe Mtende kabila gani lakini mimi nitakuwa MTANI,yaani nitaangua kilio mpaka nipewe japo dollar mia ili ninyamaze na harusi iendelee.Hongera mwe kwa kuwa jiko,mtunze sana mwenzio ili asije kamatwa na wenzio na mpe anachokitaka bila hiyana hata hivyo usije msahau Ashadii kukupa mawaidha kabla ya ndoa
 
Ngoja niwahi position kabla wanyapala kuniwahi ..... majina yao kapuni ...

VINYWAJI ....
Baada ya vinywaji ntashughulika na urembaji ..

Naomba umwalike Klorokwin ajili ya vichekesho na "emergency " baadaye kama utamuhitaji looyaa ..
 
afrondenzi sasa hiyo kamati ya vinywaji wewe utakua mwenyekiti,hakikisha watu hawatoki na chupa za bia nje ya ukumbi, kuhusu urembaji naomba uje na seti nzima ya vipodozi maana siku hiyo itakuwa hekaheka

kuhusu first aid kit ipo tayari kwa ajili ya emergency za hapa na pale
 
Duh sijui wewe Mtende kabila gani lakini mimi nitakuwa MTANI,yaani nitaangua kilio mpaka nipewe japo dollar mia ili ninyamaze na harusi iendelee.Hongera mwe kwa kuwa jiko,mtunze sana mwenzio ili asije kamatwa na wenzio na mpe anachokitaka bila hiyana hata hivyo usije msahau Ashadii kukupa mawaidha kabla ya ndoa
kikungu mimi nimetokea kwenye lile kabila maarufu linaloongoza kwa maduka na biashara hapa nchini,na pia tunaongoza kwa kupenda vilevi vya aina mbalimbali ikiwemo mbege

sasa we kama unaweza liaaaa kwa sauti ukumbini najua upande wa mume watakupa hela ili unyamaze ila hizo hela baadae tutakuja kugawana bila hata bwanaharusi kujua,hapa unasemaje?
 
afrondenzi sasa hiyo kamati ya vinywaji wewe utakua mwenyekiti,hakikisha watu hawatoki na chupa za bia nje ya ukumbi, kuhusu urembaji naomba uje na seti nzima ya vipodozi maana siku hiyo itakuwa hekaheka

kuhusu first aid kit ipo tayari kwa ajili ya emergency za hapa na pale

The Finest, Teamo, Dena,lizzy luu mi niko kwenye vinywaji ..Narudia tena niko kwenye vinywaji .. hii position imesha jazwa ...🙂
 
aaaaaaaahhh pasi na nashaka muniwekege kwenye kupiga TUMBA lakini na kutomboka pia ntakuwemo.......aaah juu ya nini mapenzi yenu ufungwege ha kufuli sije kufunguka mamaaa na mutendeee wakuacheeeee.....
 
The Finest, Teamo, Dena,lizzy luu mi niko kwenye vinywaji ..Narudia tena niko kwenye vinywaji .. hii position imesha jazwa ...🙂

daaah afro unajua nilikua nimemsahau the finest, na lizzy sasa hawa wawili najua kamati wataidhibiti sawasawa, hii nafasi ya vinywaji imejaa no more applications kwa sasa nahangaikia kamati ya ulinzi na usalama, mapishi,muziki na burudani, hebu nipeni watu hapa
 
Nafasi ya mpiga drums ni yangu sitaki ugomvi na mtu kabsa.
 
aaaaaaaahhh pasi na nashaka muniwekege kwenye kupiga TUMBA lakini na kutomboka pia ntakuwemo.......aaah juu ya nini mapenzi yenu ufungwege ha kufuli sije kufunguka mamaaa na mutendeee wakuacheeeee.....

kigogo my kaka upo?dah nimekutafuta sana for so long tangu last time uliponiambia upo mbea, anyway sasa avatar yako inaniashiria kuwa utakua mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama
 
Back
Top Bottom