Hatari sanaNa aibu na kuvunjiwa heshima uwa tunaothirika zaidi ni sisi mashemeji ,unakuta mme wa dada mwanzoni mwa ndoa yao alikuwa anakupa heshima sana ila siku zinavyoenda hakuheshimu kama zamani .
Mara barabarani ukimsimamisha hasimami anapita kama hajakuona ukimuuliza dada vipi mbona mmeo simsomi anasema alikuwa anawahi kazini ila alisema alikuona hivyo atakupigia ,yaani seriously ?
Kumbe dada ameshasema vile unavyolewa na kujikojolea bar .
Kwamba mpaka yanikute ndio nijue, Duh!Pole sana kwq yaliyo kukuta..... dunia ni duara
Pole sanaHata nisipomwambia ataambiwa tuu ule mtaa hawanitakii mema...
Pole ya nn sasaPole sana
Kuna watu watakuja kukupinga hapa.. Lakini umenena mkuuNi kweli ni mpenzi wako, lakini siyo kila kitu cha kwenye familia yako au ukoo wako anapaswa kujua vingine vibaki siri ya ukoo wako ili kuilinda heshima yako kwa huyo mwenza wako.
Punguza kusema kila kitu kuhusu Wazazi, ndugu zako kwa huyo mwenza wako maana kama hana hekima kuna siku atavitumia kama fimbo kukuchapia na itakuuma sana maana mlango ulifungua mwenyewe.
Unakuta mtu anamweleza mwenza wae madhaifu ya aibu ya mzazi wake, Ooo huyu baba yangu namjua achana naye akilewa huwa anaropoka ovyo au huwa anajikojolea hatuwezi kwenda naye mbele za watu, weee dada wewe, wee kaka wewe siku mkigombana kama mwenza wako hana hekima utajisikiaje akisema huna akili kama Baba yako anayejikojolea akilewa?
Mara mama yangu hivi, mara dada yangu sijui hivi, kaka zangu vile, hebu watunzie heshima ili huyo mwenza wako awaheshimu pia, kumbuka kadiri anavyojua madhaifu ya ndugu zako kupitia wewe kuna namna na heshima yako inashuka kwake anajua ni suala la muda tu huenda na wewe una chembe chembe za hivyo kuna siku utaropoka kama mama yako mana maji hufata mkumbo.
Jifunze kuwalinda ndugu zako, mwenza wako ajue madhaifu ya ndugu zako kwa bahati mbaya ila siyo wewe ndio msimuliaji loh!
Hata me nimesema yaani Kuna vitu vya familia ya mzee alikuwa hajawahi sema wala ndugu zake, ila kizazi tulichotoka kwao tukaja kuambiwa kila kitu na nikaja kuwauliza ma aunties wakasema ukweli wote bila kupingaUjumbe mzuri sana..japo kuna mwenza mwingine utadhani ni spy anajua kila jambo la ukoo wako hata bila kumsimulia, mfano hayo uliyataja mengi hayafichiki labda kama hamna mazoea ya kwenda kuwasalimia ndugu.
kweli kabisa.Hata me nimesema yaani Kuna vitu vya familia ya mzee alikuwa hajawahi sema wala ndugu zake, ila kizazi tulichotoka kwao tukaja kuambiwa kila kitu na nikaja kuwauliza ma aunties wakasema ukweli wote bila kupinga
Ku hide ni sawa lkn kwa namna yoyote labda mkeo awe mbali na majirani na ndugu wengine Ila mkiwa karibu jiandae tuu mkeo atajua ukweli na ndipo mwingine atakuambia mwingine atapiga kimya