Dada, Kaka siyo kila kitu cha kwenye familia yako ni cha kumueleza mwenza

Dada, Kaka siyo kila kitu cha kwenye familia yako ni cha kumueleza mwenza

Natamani kaka angu aje asome hapa, ili akili imkae shenzy zake.
Mxxxiiieeeew
 
Kuna mdada niliwahi kuwa nae kimahusiano akawa ananipa stori za familia yao, za ukoo wao mpaka nikawa najiuliza hiv huyu hajui kipi cha kusema na cha kukaa kimya!?
 
Back
Top Bottom