MFALME WETU
JF-Expert Member
- Feb 1, 2021
- 4,071
- 10,028
Mambo vipi apo nyuma ya keyboard, ugonile.!!
Kiukweli zama zimebadilika sana
ni ajabu sana wanawake sikuiz ndo wanaitisha mechi kwa kisingizio kuwa mnatest kama yaliyomo yamo kwa wachumba zenu ili mpate headlines za kuwasimulia shoga zenu.
sasa leo nawaibia siri ukitaka mchumba wako awe siriaz na suala la kukuoa mnyime tendo mwambie mpaka ndoa. Hii ni kwa wale namba E na D zilizochangamka
Kwa wale namba A mpaka C hama mtaa ikibidi mkoa [nenda sehemu ambayo hawakujui kabisa] kisha badili lifestyle yako, kama ulikua mtu wa pombe sana na kujiachia acha, vaa kwa adabu mwanamke kujisitiri, anza kwenda kanisani/msikitini na kwenye matukio kama sherehe za harusi and the like sio kwenye shughuli.
Asikwambie mtu hakuna mwanamke bila mume and vice versa. Mtu yeyote anaekwambia kuwa ndoa sio muhimu na haina maana mfutilie mbali kabisa ikiwezekana mtupie majini ata 7 yamshikishe adabu.
Mwisho kabisa kuwa submissive kwa mchumba wako/utaempata
Ni hayo tu