akili mwili mzima
JF-Expert Member
- Nov 13, 2025
- 2,662
- 5,558
NDio akili za samuya zimeishia hapo mkuu,majanga!Maigizo ya kijinga sana haya kutuchezea akili watu wazima na ndevu zetu!, kazi tu kufuja pesa kwa mambo ya hovyo kama haya.
Hao jamaa akili zao zinashangaza,mkapa hakuwa mkatoliki sababu alikua mwenyekiti wa CCM
Sio dhambi kabisa kumbe siasa na imani vinafaa kuchanganywa siyo kakaKwani dhambi mkatoliki kuwa CCM au haiwezekani ?
Ukishakuwa CCM inakuondolea kuaminika kwenye vitu vya maana. Tizama hata nyinyi CCM mnavyokuchukuliwa humu JFKwani dhambi mkatoliki kuwa CCM au haiwezekani ?
Mambo ya kukariri alichoandikiwa.Kwaninj jana alikuwa anaweweseka hadi kujiita "lucy michaeli"?
Hili ni andazi kama andazi!Wakuu, huyu hapa ni dada Mkatoliki aliyekuwa akichangia kwenye kipindi cha Malumbano ya Hoja cha ITV. Alijitambulisha kama Lucy Antony Michael, Katibu wa UVCCM, akitokea Wilaya ya Temeke.
Katika kauli yake, alisema kuwa wao kama vijana wa UVCCM wanasimama na Mama — yaani Samia Suluhu Hassan, mgombea urais kupitia CCM. Alieleza kuwa wanaunga mkono falsafa ya FR badala ya 4R, hususan katika vipengele vya maridhiano, ustahimilivu, mabadiliko na ujenzi mpya wa taifa.
Alimalizia kwa kusema: “Sisi kama vijana tushiriki uchaguzi na tuache vurugu. Sisi CCM tumejipanga, na hatutakubali maandamano yoyote yatakayozuia kufanyika kwa uchaguzi.”
wewe malaya wa kisiasa hoja siyo CCM ni kuwa siyo MKATOLIKI na wala hajui chochote kuhusu ukatoliki.Kama wewe ulivyo na USABATO WAKOHuwezi kuwa mkatoliki na CCM?
Safi sana....
Kabisa.Huyo ni sampuli ya malaya waliokwishajikatia tamaa.Ananuka umalaya mwili mzima.Ndugu@mwehundama usithubutu kuchovya dushelele yako kwake hata kama umejibandika kivazi/kondomu.Hiyo ni incubator ya gonorrhea na UTI sugu na fungus
Wakatoliki wote wanamjua papa na jina lake?Ww ndio tunakuchangaa hapa.
Kwanza Lucy sio mkatoliki.
Mkatoliki hajui papa benedicto kuwa ameshafariki. Yeye kasoma barua kumpelekea malalamiko marehemu.
Kwahiyo hajui hata papa wa sasahiv ni nani?
Au haujaona ile video?.
Sasa kama sio mkatoliki kwann ajivishe ukatoliki?.
Na kumbe nyuma yeye ni UVCCM.
Kwahiyo sio kwamba mkatoliki hawez kuwa UVCCM bali
1. Yeye sio mkatoliki
2. Ukiwa kiongozi wa chama haitakiwi uvae pia uongozi wa dini.
(Pale yeye kaongoza wale watu 100)
Ni conflict of interest.
Sasa mkubali Yale ni maigizo ya ccmKwani dhambi mkatoliki kuwa CCM au haiwezekani ?
Hivi mtu ukimsikia anasema mimi ni mwenyekiti wa Yanga tawi la Nzovwe mkoani Mbeya, halafu kesho uone amekaa kwenye media anasema yeye kama mtanzania wa kawaida anaenda kuwashtaki Simba huko FiFA huoni kama kuna namna flani utaanza kumjengea mashaka.... Wewe umejitambulisha kama Mwananchi wa kawaida wakati in reality wewe ni kiongozi wa Yanga, je tutakuamini vipi na hoja zako kama sio ushabiki tu unakusukuma!Kwani dhambi mkatoliki kuwa CCM au haiwezekani ?
Kila ibada lazima jina la Pope aliyepo litajwe. Mkatoliki anayeenda kanisani walau mara 2 kwa mwezi lazima ajue jina la Pope na la Askofu wake. Maana kila ibada yanatajwa kwa kuwaombeaWakatoliki wote wanamjua papa na jina lake?
Huyo atakuwa ni mkatoliki mtoro na afuatilii chochote kuhusu ukatoliki na huo utoro wake wajumuiya na kwenye Missa takatifu.Wakatoliki wote wanamjua papa na jina lake?
Huwezi kuwa mkatoliki na CCM?