tpaul
JF-Expert Member
- Feb 3, 2008
- 24,225
- 22,632
Anamuogopa Lusinde na Msukuma (team Magufuli). Hawakawii kumchunjia baharini hawa jamaa.Kwani Mama anamuogopa nani?
Kassim Majaliwa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anamuogopa Lusinde na Msukuma (team Magufuli). Hawakawii kumchunjia baharini hawa jamaa.Kwani Mama anamuogopa nani?
Kassim Majaliwa?
TZ hakunaga wachambuzi wa siasa, wengi ni wachumia tumbo, kulikuwa na panel ya wachambuzi wakati wa uchaguzi wa Marekani, wakawa kimya wakati wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
Ulipofika uchaguzi wa Chadema interview nyingi plus uchambuzi, haya ya CCM kimya kikuu.
Wachambuzi wasio mashabiki ndio wachache, watoe analysis kulingana na katiba na miongozo, wengi ni waoga, uchambuzi wao ni wakutaka wao kuonekana zaidi wapate chapuo.Saidi Msonga,Abdurahman Atiki na wengineo wote wanasifia kilichofanyika Dodoma.
Nikajiuliza hivi hawa watu wanauelewa kweli wa demokrasi na katiba!!??
Angalau nikimsikia Sabatho Nyamsenda akilisemea kuwa si sawa kwa kilichofanyika Dom.
Natoa wito kwa media zetu kama wanataka kupata uchanganuzi na uchambuzi kuhusu jambo fulani, basi ni vyema wakatafuta watu ambao ni pro kwenye field husika, kama ambavyo Sabato Nyamsenda wa Political Science UDSM anavyoitendea haki elimu yake kwenye mijadala ya kisiasa.
Yamejidhalilisha sana aiseeIla nimesikitika sana madume mazima toka Tanganyika yameufyata yamebaki kunung'unika nje ya ukumbi tena yakiwa yananong'ona yasisikike!
Ni majitu majinga sana tena yule Kimbisa Mungu amlaani kabisa,swine mkubwa.Yamejidhalilisha sana aisee
Mapuuzi sana,sisi tunawategemea wao kuitetea Tanganyika yetu,yanaacha democrasia ivunje tutawaliwe na asiye Mtanganyika,Majnun kabisaNi majitu majinga sana tena yule Kimbisa Mungu amlaani kabisa,swine mkubwa.
Ukiwa CCM lazima uishi kwa uvumilivu ndugu upate chako ule na familia, uchungu wa Taifa huko hauko.Kilichofanyika Dodoma ni ubatili mtupu,ile hatua ya kuchukua fomu na kutafuta wadhamini haikupaswa kurukwa kabisa maana ndiyo inayojenga uhalali ya kujadiliwa na vikao vya chama ambako huko ndiyo wangefanya maroroso wanayotaka ili wampitishe mgombea wao lakini kwa vile Samia na Mwinyi hawakuchukua fomu na kudhaminiwa na wanachama wa chama cha mapinduzi hiyo imefanya mchakato wote uliofuata kuwa batili.
Pasco "she has everything to loose and nothing to gain"Wanabodi,
Hii ni barua ya wazi ya mtu akimuandikia Dada yake.
Japo Dada yake huyo ni mtu mzima, ameolewa na ana watoto, hivyo kwa watoto wake wanamwita Mama na ana wajukuu ambao wanamwita Bibi, lakini kwa sisi wa rika lake, wale watu wa 60s, huyu kwetu ni dada yetu mkubwa!, hivyo hili ni bandiko la kikubwa!.
NB: Ukiona halijatajwa jina lolote zaidi ya Dada Mkubwa, nakuomba na wewe usitaje jina lolote!.
Soma: Rais Samia aligoma alipoambiwa atoke ili wajumbe wapige kura na kumpitisha. Hii ina maanisha CCM wengi hawamtaki?
Dear Dada,
Kiafrika kwa vile wewe ni dada mkubwa, Shikamoo Dada Mkubwa!.
Naomba Kuanza na Angalizo la Declaration of Interest.
Mimi ni mwana CCM na ni kada wa CCM, baada kuibuka kwa kada mpya ya uchawa na machawa, ukisifu tuu utanyooshewa kidole cha uchawa, naomba kudeclare inte mimi sio chawa wa Mama, wala bandiko hili sio bandiko la kichawa kutafuta shavu au kusaka fursa! Pongezi Zangu ni Bonafide-Genuine! Sisaki Teuzi, Sitaki Teuzi, Niko Naye Mbeya, Nitamweza!, bandiko hili ni bandiko la kaka mtu kumsaidia Dada mtu, asiwasikilize machawa kwenye kila kitu, kuna baadhi ya vitu machawa hawamsaidii na wengine wanampoteza kwa kumpotosha, hivyo hapa kaka mtu anamsaidia Dada mtu atende haki abarikiwe zaidi na zaidi!.
Mimi mdogo wako, nilibahatika kuwepo Dodoma kwenye ule Mkutano wetu Mkuu, na kushuhudia kilichofanyika, hivyo kwanza niungane na Watanzania wengine wote kukuhakikishia tuna imani kubwa na wewe, na hatuna shaka na uwezo wako kuendelea, hivyo nijiunge na wengine wote kukupongeza ulivyoaminiwa hadi watu kuhamanika na kukupitisha kwa kishindo kinyume cha katiba ya chama chetu, lakini kwasababu kilichofanyika kimefanyika kwa nia njema, in good faith, pokea pongezi zangu za dhati na pia pokea ushauri wangu japo sio lazima, kuufuata au kuutekeleza!.
Japo najua utakuwa unanifahamu kutokana na jina langu, si geni masikioni mwa wengi wale wa zamani waliokuwa wakiisikiliza RTD, nikaja DTV kwa waliowahi kuangalia kipindi cha Mada Moto Uchaguzi 95, ni mimi ndie nilikuja Zanzibar na kuyatangaza yale matokeo ya kweli ya Uchaguzi wa Zanzibar ile 1995. Kisha nikaendesha kipindi cha Kiti Moto, na sio vibaya nikijitambulisha tena kwako kwa kukumbusha tuu, kwenye mtandao huu wa JF, ni mimi ndiye mtu wa kwanza kukutambulisha wewe humu jf ile 2010 kabla hata hujateuliwa Waziri wa serikali ya JMT. New Cabinet: Baadhi ya Majina ni Haya Hapa!
Wakati tukililia haki hii kurejeshwa, huku CCM ndio kwanza...
Kama nilivyosema hakuna ajuaye sababu za yule Kaka yako kutwaliwa, ila inawezekana kilichotokea uchaguzi wa 2019 na 2020 kimechangia!.
Tunakushauri Dada Mkubwa usitupeke kwenye uchaguzi mkuu na hii sheria batili, muda wa kuirekebisha upo tena wa kutosha tuu, kitu muhimu ni uwepo wa utashi wa kisiasa, political will!.
Sasa tuje kwenye kilichofanyika Dodoma.
Kwanza naomba kukukumbusha tuu Dada kwa faida ya wengine.
Ibara ya 4 ya CCM inasema :
Chama Cha Mapinduzi kinaamini kwamba:
Binadamu wote ni sawa.
Kila mtu anastahili heshima ya kutambuliwa na kuthaminiwa utu wake.
Hivyo wana CCM wote ni sawa mbele ya chama.
Ibara ya 7 inasema
Raia yeyote wa Tanzania mwenye umri usiopungua miaka 18, anaweza kuwa Mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi
Hii maana yake Chama cha Mapinduzi ni chama cha wote!.
Ibara ya 14, inazungumzia Haki za Wanachama
Mwanachama yeyote atakuwa na haki zifuatazo: -
Kwa ibara hiyo inamaanisha ule utaratibu wa mserereko, ni utaratibu batili, unaofifisha haki za wanachama kugombea nafasi za juu za uongozi, na haupo mahali popote kikatiba, ndani ya katiba ya CCM.
- Haki ya kushiriki katika shughuli zote za CCM kwa kufuata utaratibu uliowekwa.
- Haki ya kuhudhuria na kutoa maoni yake katika mikutano ya CCM pale ambapo anahusika kwa mujibu wa Katiba.
- Haki ya kuomba kuchaguliwa kuwa Kiongozi wa CCM na ya kuchagua viongozi wake wa CCM kwa mujibu wa Katiba, Kanuni na Taratibu za CCM.
Kwa vile wewe uliingia kwa kudra tuu bila kusailiwa, na hii kwako awamu ya kudra inahesabika ni awamu yako ya kwanza, awamu yako ya pili ya 2025-2030 unapaswa kuendelea kwa mserereko.
Kwa vile dhima ya mserereko ni kuepuka duplicity kwa rais ambaye amekwisha sailiwa, wewe hapo mwanzo hukusailiwa, na kufuatia your wonderful performance, wana CCM katika umoja wetu kupitia Mkutano wetu Mkuu kwa kauli moja tumeamua ni wewe tuu, na tumekupitisha, bila kujaza fomu, bila kusailiwa na bila kupigiwa kura! .
Japo kwa mujibu wa Ibara ya 100 (2)ya katiba ya CCM, Mkutano Mkuu una mamlaka yote ya kufanya jambo lolote, Mkutano Mkuu wa CCM wa Taifa utakuwa ndicho Kikao Kikuu cha CCM kupita vyote na ndicho kitakachokuwa na madaraka ya mwisho.
Lakini kama hilo jambo limewekewa kanuni na utaratibu wa jinsi ya kufanyika, utaratibu ni huu
Ibara ya 101 (4) inauruhusu Mkutano Mkuu, Kubadili sehemu yoyote ya Katiba ya CCM kwa uamuzi wa theluthi mbili za Wajumbe walio na haki ya kupiga kura kutoka Tanzania Bara na theluthi mbili kutoka Zanzibar.
Mfano halisi ni mgombea urais wa JMT, lazima ajaze fomu kuomba, ajadiliwe na secretariat, apendekezwe na Kamati Kuu, ateuliwe na Halmashauri Kuu na kuchaguliwa kwa kura na Mkutano Mkuu, Mkutano huo Mkuu hauna mamlaka ya kufanya vinginevyo, mpaka kwanza kutengua vifungu hivyo vilivyopo ndipo kisha kulipitisha jambo letu hilo lifanywe vinginevyo!.
Pale Dodoma, hakukuwepo azimio lolote la kutengua kwanza kifungu chochote cha katiba, taratibu na kanuni, kwa mujibu wa ibara ya 101 (4)ndipo azimio la kumpitisha kwa utaratibu mpya likapitishwa.
Sasa CCM kama Chama ndicho kimeshika hatamu kuiongoza serikali, kama kinaweza kuikiuka katiba yake kwenye jambo kubwa kama hili, itakuwaje kwa katiba ya nchi?.
A Way Forward
Nahitimisha kwa ule utangulizi, kukuhakikishia Dada Mkubwa, Watanzania tunakupenda sana tuu, na tunakukubali sana. Kama ni wewe, uliyetueliwa na YEYE kuendelea 2025 -2030, then ni wewe tuu na hakuna mwingine yeyote zaidi yako!. Usiruhusu ule uhuni uliofanyika kwenye katiba ya nchi, kufifisha haki kuu ya kuchagua na kuchaguliwa, ukaingizwa ndani ya chama chetu cha haki, usiwasikilize wahafidhina, wewe shikilia kufuata katiba ya CCM na katiba ya nchi kwa kuruhusu ile the due process, kufanyika, you'll have everything to gain, and nothing to loose, na utabarikiwa sana!. Ukiendelea na kilichofanyika, you'll have everything to loose and nothing to gain!.
- Katiba ya nchi, ndio sheria mama ya nchi hii, katiba zote za vyama lazima zifuate sheria mama, ule utaratibu wa mserereko wa CCM, ni kinyume cha katiba ya nchi, na kinyume cha katiba ya CCM, Dada naomba ukiondoe, ukubali usailiwe tuu na tutakupa kura zote!.
- Kufuatia kazi kubwa, nzuri na iliyotukuka iliyofanywa na Dada katika awamu yake ya kwanza, naamini hakuna mwana CCM yeyote atakayethubutu kujitokeza kumpinga.
- Na hata wakitokea, maadam tumeisha amua kwenda na Dada, a due process ifanyike, kumsaili na wote watakao jitokeza, chinjilia mbali baharini, litoke jina moja, tuu lipigiwe kura zote za ndiooo!.
- Hii due process ikifanyika, kiukweli Dada Mkubwa atabarikiwa na serikali yake itabarikiwa.
- Siku zote nimekuwa nikiwasisitiza Wapinzani kujifunza kutoka CCM, lakini leo nashauri hakuna ubaya chama changu CCM kujifunza kutoka Chadema kuhusu uchaguzi wa demokrasia ndani ya Chama kwa nafasi ya Mwenyekiti wa Chama.
- Kwa mujibu wa katiba ya JMT, Dada Mkubwa anaweza kushauriwa tuu, hapaswi kulazimishwa kupokea ushauri wowote kutoka kwa yeyote, atafikia maamuzi yeye mwenyewe kama yeye, hivyo Dada Mkubwa, mwisho wa uwezo wetu ni ushauri tuu, uamuzi wa kuusikia na kuufuata ni wako, au kuusikia na kuuignore au hata kutousikia kabisa!.
Nakutakia kazi njema
Mungu Ibariki CCM itende Haki.
Mungu Ibariki Tanzania.
Kaka yako mdogo
Paskali.
Wanabodi,

Mimi simkubali na wala simpendi. Aondoke zakeWanabodi,

huyo ni lowassa wa kisukuma.Wajumbe ñi wanafiki sana! Hela zimeisha ndo mnakuja kulia mtandaoni! Kwenye kikao si mlikuepo??
Mtu ambaye sio mnafiki ni mpina tu! Yeye hakuunga mkono kwa kutosimama kushangilia lakini wengine wote ni wachumia tumbo tu! Pesa ikiisha ndo akili zinawarudi