Dada Mkubwa tunakupenda na tunakukubali, kama ni wewe, ni wewe tu, hakuna mwingine! Usiruhusu uhuni huu, fuata Katiba na the due process, utabarikiwa

Saidi Msonga,Abdurahman Atiki na wengineo wote wanasifia kilichofanyika Dodoma.

Nikajiuliza hivi hawa watu wanauelewa kweli wa demokrasi na katiba!!??

Angalau nikimsikia Sabatho Nyamsenda akilisemea kuwa si sawa kwa kilichofanyika Dom.

Natoa wito kwa media zetu kama wanataka kupata uchanganuzi na uchambuzi kuhusu jambo fulani, basi ni vyema wakatafuta watu ambao ni pro kwenye field husika, kama ambavyo Sabato Nyamsenda wa Political Science UDSM anavyoitendea haki elimu yake kwenye mijadala ya kisiasa.
 
Wachambuzi wasio mashabiki ndio wachache, watoe analysis kulingana na katiba na miongozo, wengi ni waoga, uchambuzi wao ni wakutaka wao kuonekana zaidi wapate chapuo.
 
Kilichofanyika Dodoma ni ubatili mtupu,ile hatua ya kuchukua fomu na kutafuta wadhamini haikupaswa kurukwa kabisa maana ndiyo inayojenga uhalali ya kujadiliwa na vikao vya chama ambako huko ndiyo wangefanya maroroso wanayotaka ili wampitishe mgombea wao lakini kwa vile Samia na Mwinyi hawakuchukua fomu na kudhaminiwa na wanachama wa chama cha mapinduzi hiyo imefanya mchakato wote uliofuata kuwa batili.
 
Mzee, sasa wakupe walau Ukuu wa wilaya ili ustaafu vizuri maana kama mawaidha umewapa sana tena yana mashiko awamu zote toka JK.
 
Ukiwa CCM lazima uishi kwa uvumilivu ndugu upate chako ule na familia, uchungu wa Taifa huko hauko.
 
#Tutaelewanatu . Wakili msomi hapa umeitendea haki jamii forums kwa mjdala wenye tija kama huu.
#Rationalthinking
 
[emoji24][emoji1787][emoji2357][emoji2357][emoji2357][emoji1787][emoji120]Nalia sababu mmefanya kosa ambalo mnajua ni kosa

nachek kwa vile mmeshindwa kuongea na Dada mkubwa kweny kikao
naziba uso [emoji2357]naon aibu tz inaangamia daima
nachek tena [emoji1787]kwavile alikuepo mjomba na akaon ni sawa tyuu

[emoji120]nashukur kwa vile umetubia na kukil makosa na kuuanika ukwel hadhalani

KOᑎᘜOᒪᗴ Kᗯᗩ 𝘶𝘒𝘞𝘌𝘓𝘐
 
Pasco "she has everything to loose and nothing to gain"

Wahuni walimuingiza mkenge akaingia Ili aharibikiwe na yeye hawezi Rudi nyuma Tena Ili atengeneze Bali atashupaza shingo Ili kichwa kiliwe"

Haijafanyika Kwa hbahati mbaya!

Kumbuka Adam kimbisa ndio alikua Kambi Lowasa je Lowasa aliupata urais!!?

Emmanuel nchimbi alikua Kambi ya Lowasa he Lowasa aliupata urais!!?

Watu wale wale wataleta matokeo Yale Yale na hayo matokeo ni kuukosa urais ujao!!!

"Hatoboi oktoba" by Tanzania Leaks kule X
 
Mkuu Mayala mzima ,kaka yangu
 
Mimi simkubali na wala simpendi. Aondoke zake
 
H
huyo ni lowassa wa kisukuma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…