Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
Wewe si upo mpenzi mbona nikirudi unanifanyia kila kitu?Au umesahau nini?Usitegemee mwanamke wa leo eti umerudi toka huko kutafuta akupokee eti akuwekee maji ya kuogq akuulize, je, nikusongee ugali sasa au utakunywa juisi kwanza.
Nasema thubutu, kama yupo weka ushahidi.
Ni vile nimefanya na zaidi ya hayo ila ukaamua kuniacha ukahamia huko mbaliii kabisa.Wewe si upo mpenzi mbona nikirudi unanifanyia kila kitu?Au umesahau nini?
NakaziaHii mitandao imefanya watu wawe wajinga kabisa...wanaume. Kwa wanawake. Kwanza kila mwanamke huko ni kuonesha tak na kulitingisha,huko si kuhamasisha kutaka kupasuliwa rinda tu.
Ova
Huko kila mwanamke,anaonesha kalio mara alitikise,kainama mbuzi kagoma,huku akijipitisha mkono nyuma ya mfereji wake wa takNakazia