Dada na mdogo wake wananipenda bila kujuana

Dada na mdogo wake wananipenda bila kujuana

Sasa mkuu ujapiga mshipa ata mmoja wao kweli?!! Ishu apo hao walikua ni best friends zako tu sio wapenzi......
 
PART3 NA MWISHO.

Dada yake tumeanza fahamiana vizuri kutokana na kuwa ye ni mwalimu by professional. Hivyo wakati mwaka jana zimetangazwa ajira ,nikawa namsaidia kujaza jaza. Tukaendelea juana mdogomdogo japo mara nyingi kama sio zote yeye ndo huwa anapiga simu akiwa na shida zake namsaidia anasepa.

Status zake nyingi alizokuwa anapost ni za kama mtu anaeteseka na mapenzi na wakati mwingine anapost Bible verses na Vi
Tunda je umekula?
 
Sasa mkuu ujapiga mshipa ata mmoja wao kweli?!! Ishu apo hao walikua ni best friends zako tu sio wapenzi......
Unaweza ukasema hivo, lakini hao ambao huwa wana aidiana na wapenzi wao hadi kuja oana halafu wanaachana kabla ya kulana nao ni best friend?[emoji1]
 
Kuna Mwalim mmja kule Arumeru alikula mama na mtoto
Mama alivojua sijui alimfanyaje yule kijana
Ghafla jamaa alipinda mgongo aka Anza kutembelea fimbo Kama mzee
Ahahah jamaaa hakupona hadi Leo?
 
Duuuh mwanangu rudi ukachape hata mmoja ...hapo utakua umefanya jambo la kishujaa
 
Kuna watu wa ajabu sana yaani mtu unajawahi hata kumgonga afu unasema alikuwa demu wako,

Kuwa serious basi hawo walikuwa kama wanakuchora tu ,ulikuwa kama friend tu ,
 
Unaweza ukasema hivo, lakini hao ambao huwa wana aidiana na wapenzi wao hadi kuja oana halafu wanaachana kabla ya kulana nao ni best friend?[emoji1]
Yah Kama ujala mkuu ndio inabaki ivyo uyo ni rafik tu
 
Kuna watu wa ajabu sana yaani mtu unajawahi hata kumgonga afu unasema alikuwa demu wako,

Kuwa serious basi hawo walikuwa kama wanakuchora tu ,ulikuwa kama friend tu ,
Niko mbali nao kwa sasa mkuu, mikoa tofauti
 
Assalaam.

Nipo home napigiwa simu na dada ambaye ni kama family fiend wetu kutokana kwa wazazi wetu kushibana katika mambo mbalimbali. Simu ilikuwa ikinijuza ya kuwa kuna dada wawili wanakuna wanaomba niwasaidie kufanya application za chuo. Ikaisha hivyo.

Baada ya masaa kadhaa, nikaja fatwa kwenda kusaidia zoez la ufanyaji application. Walikuwa ni mabinti wawili, mmoja mfupi kiasi bonge bonge toto laini msuko juu plus miwani, na mwingine mrefu kiasi mwili wa kawaida short hair. Nimeingia sikusalimia kutokana na ubongo wangu kushindwa kutoa jibu la maaana niwape salamu ya Aina gani.

Basi nikaitikia wito wao, nikauliza vyuo walivyokuwa wanataka apply lakini kumbe mmoja wao kati ya wale wawili ndio alikuwa anahitaji kufanya application. Wakati naendelea na zoezi la application nikaja kugundua wale dadaz ni mtu na dogo lakini huwezi kufananishia jinsi wametifautiana.

Zoezi limeendelea hatimae sote tukawa comfortable na kila mtu, mazungumzo ya kawaida yakaendelea pale ikafikia kipindi nikawa nimemzoea mdogo mtu hadi nika finya kapua kake huku yeye akicheka tu, wakati hio dada mkubwa alikuwa amegeukia pembeni.

Zoezi likatamatika kwa siku hiyo nikapewa ujira wangu kwa usumbufu, SIKUCHUKUA naba yake japo wakat namsajili aliitaja lakini sikutaka niibe namba hadi niombe kwake ndio anipe. Siku ikaisha tukaagana.

SIFA ZAO.
Mdogo mtu ambae ndio alikuwa ana apply chuo alikuwa ni mchangamfu muongeaji sana viingereza kwa wingi na slang kama zote UPANDE WA pili dada hakuwa muongeaji na alionekana Yuko serious sana jambo ambalo lilinifanya nisi concentrate sana naye nakutumia mda mwingi na dogo mtu.

KUIPATA NAMBA YA DOGO .
Alikuja siku nyingine pamoja na mama ninae mjua kwa sura, huyo mama binti yake alikuwa jeshini hivyo alikuja nimsaidie ku apply kama nivofanya kwa huyu dogo ambae amekuja nae.
Zoezi lilikamilika vizuri, wakati naendelea huyu dogo akaniuliza kama kuna siku nimemtafuta nikamjibu hapana akanambia kuna namba ngeni imempigia ,nikakanusha ikaisha hivyo LAKINI nikasema chukuaa basi namba yangu [emoji1][emoji1] alichonijibu


Endelea na hii wakati naandika ingine.
Hapa nina wasiwasi na hawa madada, wasije kuwa Kajala na mwanawe wanataka kucheza nawe....hujawahi kuwapa picha zako za utupu, kumbuka vizuri tu. Usikute ulishawahi mpa mwanafunzi picha yako naye akampa mtoto wa Kajala kisha naye akaja muonyesha Mama yake aliyekutamani. Nina wasiwasi hao watakuwa kina Kajala tu.
 
Back
Top Bottom