Dada na mdogo wake wananipenda bila kujuana

Ok, baki kwenye msimami wako mkuu, kulingana na imani yako, wengine tulihendekeza ngono zikatupotezea imani na kujikuta tupo sehemu mbaye😪😪😪😪😪😪😪
 
Ok, baki kwenye msimami wako mkuu, kulingana na imani yako, wengine tulihendekeza ngono zikatupotezea imani na kujikuta tupo sehemu mbaye[emoji25][emoji25][emoji25][emoji25][emoji25][emoji25][emoji25]
Kungekuwa na vile vi icon kama vya fb heart, woow, love ningeipiga heart kabisa. Ni kweli kaka huwa sipendi kumtenda mtu jambo ambalk kesho na kesho kutwa najua binti zangu nao wanaweza tendewa. Bless sana kaka kwa ushauri.
 
PART3 NA MWISHO.

Dada yake tumeanza fahamiana vizuri kutokana na kuwa ye ni mwalimu by professional. Hivyo wakati mwaka jana zimetangazwa ajira ,nikawa namsaidia kujaza jaza. Tukaendelea juana mdogomdogo japo mara nyingi kama sio zote yeye ndo huwa anapiga simu akiwa na shida zake namsaidia anasepa.

Status zake nyingi alizokuwa anapost ni za kama mtu anaeteseka na mapenzi na wakati mwingine anapost Bible verses na Vi cartoon.

Huyu dada kanipita miaka 3 au 2 na nusu hivi, si muongeaji, hasuki ,kwa ufupi ni Ndugu zetu wanaosali JUMAMOSI. Basi ikifika ijumaa kwake ndo maandaliz ya ibada yao nk

KUANZA MAHUSIANO.
Wakati Niko na date na mdogo wake nilikuwa nimeshaona ishara za dada mtu kunikubali lakini sikupenda kuwa mix dada na dogo. Nikijua si vizuri kwa imani yangu, japo dogo mtu alitaka mapenzi yetu yawe Siri na ni kweli kwa huyo dada mdogo kwao wakali na dada mtu ni mkali ukizingatia wamepishana kama miaka 5 au 4 hivi.

Huyu dada katika kumkwepa kwepa wee siku akanichana live UNAJUA THE GARANG mie nakukubal sema we hujiamini[emoji1], sikushangaa kwa kuwa nishaona alama tayari lakin ye asijue kwa muda huo natoka na dogo wake naye ningeaamua kumuunganisha ningeunganisha wote.

Story yake ya mahusiano ananambia ameadate na mtu mmoja japo suala la kuwa SEALED hakutaka nambiaa.
Kwa wakati huo alikuwa kwenye complicated relationship kwan huyo bf wake ,alimuomba dada ampe tunda dada akazngua jamaa nae akazilaa mazima. BASI dada akawa anaumia sabab alimpenda yule mkaka sana sana so machozi na macho yake yakawa ndo marafiki wakubwa sana. Kwa wakati huo akasema anampotezea jamaa na kuhamishia mapenzi kwangu rasmi.

Story ni ndefu siwezi weka kila kitu hapa.

Penzi letu lilishamiri sana full malove kama yotee wakati huo dogo yuko skuli hajui lolote linaloendelea huku na dada nae hajui kuwa nimetoka na dogo wake.
Basi ikifika kipind anaenda kanisan huko atahitaj nimpe ombi langu mojawapo akaniombee bila kusahau kuniombea masomoni afyaa kipindi corona iko fire pamoja na kuhusu Milo sahihi kama ujuavyo ndugu zetu wasabato nk

KITUMBUA KUINGIA MCHANGA.
1.Kutofanya follow up ya maongezi yetu, mtaongea kwa simu then akikuambia atakupigia ngoja apike au afanye jambo Fulani ,hiyo imeshatoka call it a day.

2.Kurudia rudia mambo anayokatazwa, kama namba moja inavosema. utamtext hapo asikujibu then akija siku ingine hajibu kile ulichomuuliza mwanzo anataka aendelee na mambo take.

3.Kutokana na suala la umri kuwa umeenda hata kesho yuko tayar kupata mtoto ilhali mie sina ramani inayosomeka.

4. Ni mdada jamii ya kina Joyce Kiria wale wanaokuwa fooled na ma seminar ya kuwajaza upepo kanisani. Anataka awe kwanza na pesa yake mambo yake yakaesawa then ndo mengine yaendele. inshort hataki sapooti ya kifedha akiamini nitamnyanyasa.

5. Imani tofauti, kuna siku ali doubt kuwa kama home watakubal kuoa MSABATO mie nkamwambia asijali ni matakwa yetu but for real nsingeweza kuwa na mwanamke tofauti na imani/dhehebu yangu/langu najua tungekuja kukosana mbele juu ya hili jambo kwan mifano halisi ipo.

6.Ukiachana na late replies nk pia Ukimtext Ijumaa jioni na jmosi hapo huwez wasiliana nae kwani ni muda wake wa ibada[emoji1] hadi atakapopata ye time. Mie kwa upande wangu nisingeweza hili jambo piaa hawezi safiri siku jumamosi HATA IWEJE.

By now hatujatamkiana rasmi tuachane ila naona kila mtu saivi na mambo yake, it is about a month hatujawasiliana na anahide view status last seen bluetick, hapost lolote sijue kani mute au ka futa namba yangu[emoji1]

Ni mengi ndugu zangu lakin kwa ufup ni hivyoo.

Nawasalimu kwa jina la JF, shuhuda ziendelee.

MWISHO

Pole sana...
Chapter Closed...
 
Zwazwa kweli wewe
Yani hujala hata mmoja halafu unakuja kuleta uzi hapa
 
Back
Top Bottom