The Garang
JF-Expert Member
- Jan 16, 2018
- 2,880
- 4,830
- Thread starter
- #41
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hapana mkuu sio kajala na PaulaHapa nina wasiwasi na hawa madada, wasije kuwa Kajala na mwanawe wanataka kucheza nawe....hujawahi kuwapa picha zako za utupu, kumbuka vizuri tu. Usikute ulishawahi mpa mwanafunzi picha yako naye akampa mtoto wa Kajala kisha naye akaja muonyesha Mama yake aliyekutamani. Nina wasiwasi hao watakuwa kina Kajala tu.