Dada ni mzuri, amesoma ana degree. Ila hana akili

wanawake ndivyo walivyo mkuu.. huyu nipo napiga nae story ananiambia yeye kujinunulia kinywaji roho huwa inamuuma sana yaani pesa yake kuitoa kujinunulia kinywaji moyo unauma, kwa hiyo akikaa sehemu anasubili anunuliwe na asipo nunuliwa anakunywa maji anaondoka....
 
Shukuru MUNGU anafanya hta hvo... Angempigia side kichwa atoke chalinze ampeleke posta na jioni amfate ingekua chap Kwa... Anajali uwepo wako
 
Ungeweka na picha Yake
 

Sehemu zake za siri zitakuwa na wakati mgumu sana kwa akili hii.
 
Shukuru MUNGU anafanya hta hvo... Angempigia side kichwa atoke chalinze ampeleke posta na jioni amfate ingekua chap Kwa... Anajali uwepo wako
Acha afanye hivyo kwa kweli. Itanipunguzia mengi. Huwajui wanawake hata uwe unampeleka na kumchukua kila siku. Kuna siku ataliwa na dereva wa Daladala au Fundi nguo.
 

Mimi mniache na wadada wenye matako yao Mjini....Kuna vitu huwa wananipa ambavyo sipewi na wengine
 
Wewe ndio hujatumia akili kwenye hili, mwanamke wako amekuambia gari limekataa kuwaka na umpe lifti, na wewe unaishi nae mbali, hujiongezi anataka ufanyeje, kwani yeye hajui kama unakaa mbezi na yeye yuko Tabata.....
Kwanini yeye asitumie akili yake akafika kazini kwake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…