Dada niliyekutana naye JF akawa mpenzi, leo tumetendana vibaya

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚kiruu
 
Wakuu hizi mambo zipo na tushakutana nazo huku.
Hii kesi bado yamoto.
Tatizo wanakuwa na matarajio ya kupiga pesa akizinduka kapigwa yeye
View attachment 2934324
Daaah.... Mmeishia naye wapi? Anasema akiwa tayari atakufuata? Aliomba nauli? Usimkasirikie. Kuwa mpole ataingia kwenye mfumo. Hapo ndo unakuja unamfumua sasa. Sema tu kakukuta mpole umemsamehe. Mimi huwa naumia sana.
 
Alishanitia hasara sana. Mara zote napoenda lazima kwanza nihakikishe. Ananihakikishia kabisa mambo yatakuwa mazuri. Napoteza muda wangu kumbe ana mambo ya kiswahili. Acha tu tuwekeane visasi.
 
Sikusoma kwanza, niliona kaandika maelezo mengi nikajua huyu kafunguka kweli

Kumbe chai, isingekuwa hapo kwenye tigo ningeamini

Nina kaushamba hivi
Mkuu,
Kwamba ni ajabu huyo mdada mwenye shida ya 5m kuliwa tigo? Hii dunia ione ilivyo, I believe she was desperate, angefanya lolote ili apate hiyo 5m...
 
Daaah.... Mmeishia naye wapi? Anasema akiwa tayari atakufuata? Aliomba nauli? Usimkasirikie. Kuwa mpole ataingia kwenye mfumo. Hapo ndo unakuja unamfumua sasa. Sema tu kakukuta mpole umemsamehe. Mimi huwa naumia sana.
Hapana, hizo za kumtafta ni zangu.
Yaani huyu nilimpiga tukio.
Nikamla na pesa nikachukua maana alinitia hasara sana.
Sasa anajutaa kunitukana kila nikimsalimia
 
๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚tatizo hawana utaratibu maalumu kwenye kuombaa
Kuna Pisi enzi za Ujana niliwahi kudate naye

Sikuwahi kujuta kufungua wallet kwaajili yake

Nilichogundua, ukipata Mwanamke mchafu Kwa bed, the World is all yours.

Na wallet utaifungua bila kuwaza ๐Ÿค—
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ