Dada una miaka 28+ unatoa wapi ujasiri wa kuuliza namba yangu umepata wapi?

Nimejitambulisha akanikumbuka vizuri ila akakomalia ajue aliyenipa namba. Cariha jamani [emoji1][emoji1]
Msingi wa hilo swali, jinsi utakavyojobu ndiyo kipimo cha confidence yako as a man ... inaonesha kabisa uliyumba wewe😂😂
Huwa hawaulizi kujua ninani like seriously,

Fanya fasta.. sasa shule zikifunguliwa itakuwaje?
 
Mkuu sasa kama mleta mada ana miaka 18, huoni kama mdada wa 28 kwake ni mkubwa zaidi? 😄😄
 
Yaan bongo bana!!?? Maskin mtoa mada amekuja na swali na mada ya kueleweka kabisa lakini haya mawazo mengine yalipotoka cjui ni wap!!

Eti "Amkubalie tu kwasababu ni 28+ (wakat mtoa mada hakusema kwamba alimtongoza) Yaan mtu ukihemka tu unaanza kupayuka ujinga.

"Fungua ufahamu wako kabla ya kufungua kinywa chako"

Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
 

Haha..! Mkuu hii ngoma sio ndogo ila kama ni riziki atanielewa ila kama sio riziki niwezi lazimisha.
 

Mkuu hawa wote unaowaona wanakomaa kutetea sijui umri wake umeenda isiwe kigezo sijui imeenda sijui imerudi hivi…! Hawa ni wasimbe yaani wale 35+ . Washakuwa makonki full of ego…! Waache waendelee kuuliza nani kakupa namba ili hali tayari ameshakujua unayempigia simu. Waaache hawa wasimbe waongeze idadi yao mtaani
 
Hahahah we jamaa lazima utakuwa 21~24yrs

Hapana Mkuu, niko 30 Mkuu. Siku zote mimi huwa sitaki kutongoza visichana vya umri chini ya 28 maana natambua walivyo na jeuri na pia wanakuwa hawajakomaa kiakili (Baadhi yao). Kwahiyo kumfuata huyu wa 28 ni kwamba naona akili yake ina maturity na sitegemei drama za ajabu ajabu.
 
[emoji23][emoji23] hebu rudi uwape dozi hawa wajinga wajinga.

Halaf kwa uanaume gani alio nao hadi awe na mwanamke. Kwanza huyu bia alizokunywa amejaza kwenye daftari la Manka la madeni

Wasimbe bado wanaitana kuja kushambulia …! Daaah [emoji28][emoji28][emoji28]
 
[emoji23][emoji23] hebu rudi uwape dozi hawa wajinga wajinga.

Halaf kwa uanaume gani alio nao hadi awe na mwanamke. Kwanza huyu bia alizokunywa amejaza kwenye daftari la Manka la madeni
Ndo nimerudi hivo huku kwa Sasa, mwanaume anayedharau mtu kisa umri ana matatizo Sana honestly
 
Huyu lazima tumchambe swala lake halijaeleweka kabisa Lengo ni kumzalilisha huyo dada kisa kaulizwa swali Sasa yeye kaja huku kuandika umri ili apate support, kiukweli Mimi umepata number yangu husemi ulikoipata unataka nikukubalie kiurahisi tu jinsi Dunia ya Sasa ilivoharibika kiasi hicho.

Wanaume badilikeni bwana Mimi hata nikiwa kikongwe siwezi ku accept wengi tu waliokuja kwa huo mtindo niliogopa kujiweka karibu, you want something go straight kuliko ku hide behind the bush
 
Wasimbe bado wanaitana kuja kushambulia …! Daaah [emoji28][emoji28][emoji28]
Wasimbe ni mama zako dogo... kuwa na adabu..kila siku kujaza server tu kwa ufala. Ama ndo mnataka igeuza jf twitter. Sasa unajua maana ya msimbe? Mbona na wewe ni msimbe..
 
Ndo nimerudi hivo huku kwa Sasa, mwanaume anayedharau mtu kisa umri ana matatizo Sana honestly
Halaf ndo vidangaji haswaaa.. vimejaa maziwaaa... home kwao dada zake na mama zake kibao wamejaaa.. ndo the kind of men watataka na wao binti zao siku moja waolewe na gentlemen wakati kutwa kubully dada zao kisa age..
 
Hahaaaa utoto huo kwahyo kuwa na umri mkubwa huruhusiwi kutoa mawazo, dah wewe utakuwa uzalilisha wazee kisa umri, kufika age flani ni neema za Mungu Tena ni heri na wewe utafikia tu umri huo au usifike maana ni mjinga flani, and you have nothing to show ka kutongoza Kuna kushinda ungekuwa na mafezwa usingekuja kulia lia si waona kina diamond hawatongozi wanajulikana
 
Halaf ndo vidangaji haswaaa.. vimejaa maziwaaa... home kwao dada zake na mama zake kibao wamejaaa.. ndo the kind of men watataka na wao binti zao siku moja waolewe na gentlemen wakati kutwa kubully dada zao kisa age..
Hawa hawana hela ndo vinara wakutukana humu jf ndo wanakua humu jf Kuna watu wazito hawana huu ujinga
 
Yaan hivi ndo aina ya vivulana vikifika age ya uzee vinakufa na depression kwa kutokua na mbele wala nyuma. Kwa mawazo kama haya huyu ana akili gani kichwani.

Hivi unajua kama kila mtu ana preferences zake dogo? Unadhani ndoa ni kuoa ama kuolewa randomnly tu kisa age imesonga? Hapana... kama ni kuolewa mbona hata chizi unaolewa naye, hata nani unaolewa ama kuoa. Lakini age haikufanyi ujishushe uwe na mtu ilimradi mtu. Haya utakuja kumuusia binti yako siku moja kama sisi tunavyousiwa na baba zetu... halaf tuonyeshane makaburi ya wasimbe na wasio wasimbe. Halaf msimbe kumbuka na wewe ni msimbe.
 
Hawa hawana hela ndo vinara wakutukana humu jf ndo wanakua humu jf Kuna watu wazito hawana huu ujinga
One day i said this kwa mtu. Threads unazoona zinafunguliwa kushit wanawake mostly ni vibroke boys with no future. Real men wametulia kimyaaa mahali wanawashangaa hawa wavulana badala wajijenge kimaisha kutwa kusutana na dada zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…