6WaS9
JF-Expert Member
- Mar 2, 2021
- 2,562
- 3,028
Msingi wa hilo swali, jinsi utakavyojobu ndiyo kipimo cha confidence yako as a man ... inaonesha kabisa uliyumba wewe😂😂Nimejitambulisha akanikumbuka vizuri ila akakomalia ajue aliyenipa namba. Cariha jamani [emoji1][emoji1]
Huwa hawaulizi kujua ninani like seriously,
Fanya fasta.. sasa shule zikifunguliwa itakuwaje?