Dada una miaka 28+ unatoa wapi ujasiri wa kuuliza namba yangu umepata wapi?

Namshangaaa afu anakuja kujitapa kwenye jukwaa kwani ukiwa na miaka 28 ndo uwe kama jalala,na suala la miaka linakuhusu nini maana hapa mjini kila mtu anamipango yake.

Punguza povu mama [emoji1787][emoji1787], nisamehe nimetaja Umri wako jamani
 
Nothing kills a conversation real quick than a dishonest person...

and u still expect her to be honest wth u?..FU!

Dishonest?? Did I lie about how I get her number ?? I didn’t. You just came here with yo lazy ass attacking and bragging that I was dishonest. FU too jerkass
 
Nimekuja mzee mwanzangu, hawa vijana wa siku hizi ni wazembe sana sasa kuomba no tu mtihani kweli[emoji849][emoji23] umeamkaje lkn
Mzee mwenzangu nimeamka poa, hofu kwako ww ulie mbali na upeo wa macho yangu,[emoji1787][emoji1787]...
On a sereous note kuna haja ya kubadili mitaala yetu,inawafanya vijana wanakosa kujiamini madarasani, ofcn, mtaani and now ht kwenye kutafta wenza...nimetoka kuwafanyia vijana interview wanatetemeka ht kujieleza...unabaki kuwaza sasa hawa tunawasaidiaje?
 
Sio wewe ndo hauko serious?
Ungeomba namba muda huo huo mnaopiga stori
 
Ilikuwa ni suala la kumjibu ulipoitoa namba yake,ni jeuri kuuliza hilo swali? Kwanza we jamaa ni mzembe kama umeshindwa kumface mwanamke ukaomba namba

Wavulana kwanini mna ujinga mwingi namna hii?
😂😂 Naomba namba yako ya simu Joanah
 
Kwani anashindwa kujiongeza? Mpaka anatafutwa na mwanaume, bado hajui tu?
Naunga mkono hoja. Kwan hata angemtajia jina la aliyempatia namba si angetoa maamuz yale yale tu(kuendelea kuwasiliana nae au la?)

Halaf kingine huyo dada alifikiria aliyetoa namba yake alikuwa ni mtu asiyemfaham? Lakini hata alipoongea naye si alishamfahamu?(hayo mambo huwa yanakuja baadae)

Dada zang eeee!!!??? Acheni ushamba bana mtu unamfaham( ameshajitambulisha) still unamuulza namba ameipata wap? that's f*cking bulshit+Average mind.
 
Mimi sa hivi niko 35 +huko sema nimeona kama miaka imekuwa shida binafsi niliolewa nikiwa na 30

Ahaaa.! Nimekuelewa, Japo sijataja umri huo kuonyesha kwamba watu ambao wako desperate, No. nilimwnisha kuwa, kwa umri huo mdada anakuwa anajua mengi kuhusu Mwanaume. Sorry kama umejisikia kuwa offended
 

Sure that’s Bullshit Bro..! Wanatakiwa wajingeze bhana
 
Nawe unamakosa sana. Umeshindwaje kumfuata mwenyewe ukamuombe namba.
Inaonekana wewe ni muoga sana. Haya mueleze ulipoitoa namba.
 
Huyu jamaa atakuwa domo zege. Mtu unapiga naye stori kila mara! Unakuja kuomba namba kwa rafiki yake? Na lengo la kuomba namba ni kutongoza? Umetuabisha sana sisi mabaharia.
[emoji28][emoji28][emoji28]
Kwakweli katuabisha sana.
 
Acha uoga kijana,kama unaoiga nae stori unashindwaje kumuomba mwenyewe namba?
 
Nawe unamakosa sana. Umeshindwaje kumfuata mwenyewe ukamuombe namba.
Inaonekana wewe ni muoga sana. Haya mueleze ulipoitoa namba.

[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] Nitamwambia siku usoni ila sasa sitaki kumgombanisha na rafiki yake
 
Ilikuwa ni suala la kumjibu ulipoitoa namba yake,ni jeuri kuuliza hilo swali? Kwanza we jamaa ni mzembe kama umeshindwa kumface mwanamke ukaomba namba

Wavulana kwanini mna ujinga mwingi namna hii?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…