Dada wa kazi anajua ratiba zangu kuliko Mke wangu!

Nakushauri umpandishe mkeo cheo, alafu umuoe mdada wa kazi awe 2nd wife.
Mimi tuna msaidizi hapa nyumbani, huu ni mwaka wa pili sijawahi hata kujua jinalake
 
Tafuta pesa wewe uache kuandika 'sredi' za namna hii...

Mtu anayetafuta pesa hawezi pata muda wa kuchunguza mambo anayofanya house maid na kuja kuandika utopolo kama huu...

"Mdada wa kazi anafanya kazi kumzidi mke wangu", so what???
 
Ukatili wa KIMAJINA, huwezi kukaa na ndugu miaka miwili hujui jina lake huo ni UKATILI kabisa, kumbuka huyo ni sehemu ya familia yenu.
Sasa nimjue jina la nini wakati mke yupo..?? Kubwa huwa natoa muongozo aongezewe mshahara kila baada ya miezi sita.
Na hakuna sehem mimi na msaidizi tunaweza tuka mingle
 
Akawa miyeyusho kivipi mkuu?
 
Mwache.....

Soon atakuja kuomba ushauri hapa!!!
 
Sasa nimjue jina la nini wakati mke yupo..?? Kubwa huwa natoa muongozo aongezewe mshahara kila baada ya miezi sita.
Na hakuna sehem mimi na msaidizi tunaweza tuka mingle
Cha ajabu wafanyakaz wa ofisni kwako wote unawajua majina ila anayewalea watoto wako na kuhakikisha ulinzi wako unakwepa kujua jina lake, subiri mwanao apate utapiamlo utajua jina lake hadi ukoo wao.
 
Cha ajabu wafanyakaz wa ofisni kwako wote unawajua majina ila anayewalea watoto wako na kuhakikisha ulinzi wako unakwepa kujua jina lake, subiri mwanao apate utapiamlo utajua jina lake hadi ukoo wao.
Nimesha kujibu kwamba sina haja wala sababu ya kumjuajua msaidizi.
Ama tafsiri nyepesi ni kwamba mke anajitosheleza upande huo, na kilakitu kinaenda mujarab ndio sababu tuponae huu mwaka wa pili sasa
 
Wewe bado maskini tafuta nyumba lenye shower humo ndani kubebewa maji na kuwekewa maji kumepitwa na wakati, pia uache uvivu Yani kujikorogea chai Iko mezani mpaka uletewe acha uvivu aisee
Sawa lakini labda mimi mshamba najua mkewangu anapswa kunihudumia hivyo vyote.
 
Tafuta pesa wewe uache kuandika 'sredi' za namna hii...

Mtu anayetafuta pesa hawezi pata muda wa kuchunguza mambo anayofanya house maid na kuja kuandika utopolo kama huu...

"Mdada wa kazi anafanya kazi kumzidi mke wangu", so what???
Watu bwana.unasema nitafute pesa unayajua maisha yangu? Kama huna wazo pita kimya tuu siyo lazima kusema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…