Dada wa kazi anani-blackmail baada ya kutembea naye

Aina h ya chai nlishawahi kuinywa na zote hazina sukari
 
Halaf unakuta mwamba ni graduate chuo flan..yaan had hausigel anakushinda akil...,?
 
Acha undezi,kadri unavyomjibu ndivyo unampa matumaini ya kuwa amekudhibiti,na udhaifu wako anaujua,hapo asilambe kitu na umwmbie km vip akaseme na akurudishie utam wako hata yeye kakutumia vile vile
 
We jamaa ni mjinga sana hata huyo mke wako atakuwa anaishi nawe kwa shida sana, baba mwenye nyumba kumla house girl ni tabia za kishenzi.
Tatizo ni chura.
Unaujua utamu wa chura mkuu?

#YNWA
 
Hyo malaya nadhan ndo kazi yake ya kujiingizia kipato
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…